Unaposhiba na una amani mshukuru Mungu

Unaposhiba na una amani mshukuru Mungu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
361,107
Reaction score
831,771
1416041740758.jpg
 
Daah...Mungu tunusuru waafrika. Africa is a tragedy continent because of our selfish leaders.
 
Tunastahili kuitwa nyani kabsaa.

Kugombea madaraka kunasababisha haya yote, kuna mengi yanatuvua nguo.

Ni kama mzee mugabe,nilikuwa namuona mjaanja,nlivyosikia ana mali nyingi kaficha china duh,nguvu zote zikaisha.

Nahisi aliyeturoga kawehuka yuko anaongeza tunguli tu bila kujua anatukaanga.

Sent from my radio
 
Na kuchukua hatu pia ni muhimu.
Ona Tz ya sasa,watu tupo hoi kabisa.Wanajilimbikizia mali huku tunakufa nja,hakuna anayejali.Siku tukiamua kuwatoa watagoma kutoka ndipo tutakapotumia nguvu.
 
mh!! jamani nilikuwa na mabest hapa tunakula mpaka tumesaza ghafla kuona tu hii picha yaani am feeling guilty
 
Sikitika kwa vitendo,kuna vituo vya watoto yatima kibao wanahitaji msaada ya vyakula na mavazi, huko mtaani kuna wazee wajane pia wanakosa japo mlo mmoja kwa siku,wakumbuke hao wote na ninakuhakikishia utabarikiwa sana endapo utatoa kwa moyo wa unyenyejevu.
 
Tunastahili kuitwa nyani kabsaa.

Kugombea madaraka kunasababisha haya yote, kuna mengi yanatuvua nguo.

Ni kama mzee mugabe,nilikuwa namuona mjaanja,nlivyosikia ana mali nyingi kaficha china duh,nguvu zote zikaisha.

Nahisi aliyeturoga kawehuka yuko anaongeza tunguli tu bila kujua anatukaanga.

Sent from my radio

Hivi na hao viongozi wa ulaya wao hela huwa wanaficha wapi?
_walaaniwe viongozi wote wenye kututesa na kutushindisha njaa!
_walaaniwe uongozi wa jiji la mwanza waliokula 43bl na kusababisha hati zahanati ya mama na mtoto isikamilike!!!
_Na walaaniweee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom