Unaposema JF ni home ya great thinker..jionee mwenyewe

displayname

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,950
1,039
20171101_085712.png
 
Huwezi kufanya bila kufikiri. Na unaweza KUFANYA halafu lifanywalo lisiwe na tija yoyote. Kina Einstein na Newton nk. waliutumia muda mwingi KUFIKIRI na MAWAZO yao yameifikisha sayansi ilipo hapa leo. So wote wa kufikiri na kufanya wanategemeana sana.
 
Kweli hutegemeana sana kufikiri na kutenda...
Shida ipo kwa anaefikiri bila kutenda vivyohivyo kwa anaetenda pasipo kufikiri...
 
he he! unaweza kufikiri na usipate jibu sahihi.. kikubwa ni kuwa na uwezo mzuri wa kufikiri ili ufikiri sahihi(kutoka na majibu sahihi)..
 
Great thinking = reasoning + planning + assessing + deciding + doing + evaluating + recommending. But you can just do without following the criteria mentioned above and we can still refer you as a "doer". That is the difference
 
Thinkers are not ACTORS.
Thinker is not an actor.
Thinker does not act.
Thinkers do not act.

hayati bluce lee aliwahi sema kama watumia muda mwingi kufikiri, basi jua kwamba jua kwamba hakuna jambo utakalofanya!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom