Unapopewa zawadi na mpenzi wako jiulize una mapungufu yapi?

Wakuu habari za weekend,

Leo nakuja na ushauri au maoni yangu juu ya uhalisia wa zawadi tunazopokea toka kwa wapendwa wetu tuwe tunazitafakari kwa upande wa pili. Namaanisha unaletewa Pafyumu au body spray jua kabisa unaharufu mbaya inayomkera mwenzio ila kashindwa namna ya kukwambia na hataki mkwazane.
Mimi nina sinland 4 zinatosha mkuu au niongez
 
Inaonekana we ni mshamba wa mahusiano. Ebu tuambie wewe ni zawadi gani unampa mpenzi wako ? Kuna brand ya perfume nilikua natumia ila haikua ya kiume nikaletewa brand flani kali sana na ipo ki gentlemen, apo utasema nanuka aya nimeletewa saa mpya ya rado original na ninazo zingine 3 , apo utasema sijali muda?

Mi niliona nguo flani za kulalia kali maali zinevalishwa midoli nikasema daah hii akipiga wife itabamba sana nikamchukulia so itakua alikua analala na jeans ndo maana nikamnunulia au? Acha undezi
We kweli Lodi Lofa we na ujanja wako wote ulikua unatumia Pafyum ya kike mpaka demu wako kakununulia pafyum ya kiume sasa unakataa nini afu unajimaliza mwenyewe we Pimbi kweli
 
Mtoa mada utakua unajihami kutoa zawadi kwa mpenzi wako

Acha sie tuendelee kutoa na kupokea zawadi kwa mabebe zetu
Haha haha hajauzuiliwa kupokea au kutoa ila najua ukiona kuna upungufu kwa fance wako ndio utapeleka msaada wako pale
 
Back
Top Bottom