Unapopendwa na mtu sahihi

Unapopendwa na mtu sahihi inabidi kumshukuru Mungu bahati haiji mara mbili.
 
hakika babe na vile uko zaidi ya hivo nakupenda mm
halafu chakula kikiiva mara unasema unataka miguu ya kuku wakat hiko chakula kilichopikwa hapo ulikidai aisee za uso zitahusika babe
 
Mie na kupigwa pigwa nilivyo sipendi usinipige bwana huo ndio wakat ntakudekea kuliko nyakat zingine zozote zile jiandae

ntakudunda tu babe hata kwa kanga.....ntakudekeza beb mpaka upaliwe
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…