Unapomwambia Mpenzi wako,,,

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
I miss you,,naye akakujibu I miss you too au
I love you,, naye pia akakujibu I love you too,,

Naona kama amekuiga tu,,alikua wapi kukuambia in the first place, mpaka ukampigia au ukam-text?

Ivi haya mazoea ya,,,I miss,or luv u too hayana udhati wowote? au ndo ka ile,, say yes to please the full!.

Mbona tayari huwa umeshajitune kuwa utajibiwa vile?

kama ni mazoea tu kujibu, iwaje ujifariji kuwa mwenza wako naye amekumisi au anakupenda while jibu lilikua obvious?

Mi demu wangu au mtu yeyote akinijibu I mic you too huwa kimoyomoyo najua nazugwa tu.
 
Mkubwa hilo unalosema yawezekana likawa kweli au uongo, lakini all in all inategemea zaidi na tafsiri yako na mashaka yako juu ya yule anae kujibu.....
 
Katika mawasiliano lazima ujue moyo wako unasema hayo maneno kwa dhati kabla ya kuwaza mwezio anahisi nini ndani yake. Kama moyo wako unahamu ya kuwasiliana na mwenzako wasiliana naye bila kujali ni mara ngapi wewe umeanza kumtumia massage au kupiga simu au kuongea moja kwa moja. Mawasilano ya mara kwa mara kwa mwenzako yanamjengea hisia kuwa wewe ndio uliyekuwa karibu nae na vigumu kuanza kufikiria pembeni, usijali ni mara ngapi unawasiliana nae bila yeye kuwa wa kwanza bali jali furaha ya moyo wako na kumlinda mwenzako asije kupotea. Jinsi unavyo wasiliana na mwenzako ndivyo unavyodumu kwenye akili yake, ni sawa na matangazo ya biashara yanavyo rudiwa ndivyo watu wavyokuwa wanaikumbuka hiyo bidhaa.
 
Mh na wewe una lako jambo. mi nikiambiwa i love u huwa najibu i love u more ... mic u najibu mic u mo au i was about to tell u the same bb halafu unganisha hapohapo by the way how r u!
 
Kaka j wewe bina ukitex mpenziwako uka weka hiyo Imiss u halafu yeye akajibu SMS yako bila kuweka HI Im u2 utajiskiaje kiukweli na mtu wako unaempenda kimoyo sio wjujuu
 
Kaka j wewe bina ukitex mpenziwako uka weka hiyo Imiss u halafu yeye akajibu SMS yako bila kuweka HI Im u2 utajiskiaje kiukweli na mtu wako unaempenda kimoyo sio wjujuu

Anijibu vingine tu,na sio aniige.
 
Mh na wewe una lako jambo. mi nikiambiwa i love u huwa najibu i love u more ... mic u najibu mic u mo au i was about to tell u the same bb halafu unganisha hapohapo by the way how r u!

Mule mule.
 
Nimegundua wanaume hawapendi kudanganywa ila wanapenda kudanganya......honestly kuna wakati namjibu tu mtu ili mradi yaani mazungumzo yaishe,nisimuumize au tuongee kitu kingine........:laugh::laugh:
 
I miss you,,naye akakujibu I miss you too au
I love you,, naye pia akakujibu I love you too,,

Naona kama amekuiga tu,,alikua wapi kukuambia in the first place, mpaka ukampigia au ukam-text?

Ivi haya mazoea ya,,,I miss,or luv u too hayana udhati wowote? au ndo ka ile,, say yes to please the full!.

Mbona tayari huwa umeshajitune kuwa utajibiwa vile?

kama ni mazoea tu kujibu, iwaje ujifariji kuwa mwenza wako naye amekumisi au anakupenda while jibu lilikua obvious?

Mi demu wangu au mtu yeyote akinijibu I mic you too huwa kimoyomoyo najua nazugwa tu.

Bora wewe unaepata I MISS YOU TOO au I LOVE YOU TOO
kwa wengine mpaka umkumbushe, na hata hivyo atakujibu AAAH NILIACHA SIMU CHUMBANI NILIKUWA NAOGA
na majibu ya staili hiyo ni kila siku
 
Bora wewe unaepata I MISS YOU TOO au I LOVE YOU TOO
kwa wengine mpaka umkumbushe, na hata hivyo atakujibu AAAH NILIACHA SIMU CHUMBANI NILIKUWA NAOGA
na majibu ya staili hiyo ni kila siku

:laugh::laugh::laugh::popcorn::popcorn:
 
Kaaaaazi kwelikweli.
Mi nikiambiwa i miss u au i love u nasema thank u.
 
to love means trust
hivyo wewe kama humwamini mwenza wako huna haja ya kuwa naye.
 
Back
Top Bottom