Unapomuachia maagizo dada wa kazi

Unapomuachia maagizo dada wa kazi

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
2,338
Reaction score
1,126
Umetoka kwenda town kwenye mishemishe zako umemuachia dada wa kazi maagizo afanya usafi vitu vyako vyote chumbani. Unarudi unakuta kazi hii hapa. Ni kosa la nani na utamfanyaje? Created by Joti Mdebwedo

maagizo.jpg
 
Hahahha dada noma

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
me namshukuru then nampa nauli ya kurudi kwao.hao ndo wale aliowaimba profesa jay kwenye kale kawimbo kalikovuma sana!
 
Hivi mpaka Leo Bado kuna watu mnatumia Toshiba bamper, aisee .. Au ni Ya urithi
 
Kama baba nitam-promote na kumuongeza mshahara ila huyo mama mwenye nyumba aliyeshindwa kusafisha hata chumba chake na mumewe atakuwa-demoted kama siyo fired kabisa.
 
Tehe!tehe!tehe!tehe!, nampeleka milembe kwanza! Huku nikipanga cha kufanya !
 
Naenda kununua yenye ksogo a.k.a D.top nione ataanikeje cku nyngne.
 
Back
Top Bottom