Unapobebeshwa usichokijua

Unapobebeshwa usichokijua

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,455
Reaction score
872,090
1442242711878.jpg
 
Njaa mbaya sana, ona wanavojivua nguo kwa maandishi ya kubebeshwa
 
eheee! Zile ndoa za Obama na huku zimeshafika jamani.Naona wababa wa kike wameshikilia mabango.
 
Lione! Jibaba zima halina hata soni.....afu linakunywa piwa hili kama PUMBAVU.
 
hao ndio mtaji wetu ccm tumewanyima elimu wao na watoto wao ili tuendelee kuwatawala.

Ukawa mnapendwa na wasomi ndomana hata kanga na t shirt zetu hawataki.

Dah ! sijui kama tuta toboa mwaka huu Lowasa anatunyima usingizi Lumumba
 
Yaani ni aibu kwa ccm kwakua na watu kama hawa karine hii! Dah! Nishiiiiiiiidaaaaaaaa!
 
Mh B W Mkapa kuna Mmoja wa wale WAPUMBAFU NA MALOFA!!
 
ndo mana nawaambia, UKIWA CCM lazima uwe ujitoe ufahamu..
yan limesima wima wala halijielewi..
ameniboa!!!
 
CCM wanatumia udhaifu wa elimu ya watu na umasikini kushinda chaguzi
 
Miongoni mwa wapiga kura milioni 20 kama milioni 19 wana akili kama hii basi ni bora kuungana na milioni moja wenye kuelewa wanachokichagua na kukubali kushindwa kuliko kuungana na huyu!
Kujitambua muhimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom