Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,783
- 287,729
Unaweza kujikuta unatetea hata usichokijua, ni Aibu sana!
Hebu Mwangalieni huyu Mchumia tumbo
Hebu Mwangalieni huyu Mchumia tumbo
Ndio kitega uchumi chakeMbona amepanua mdomo sanaaa
Anasubiri iingizwe ili awezi kuinyonyaa mkuu.maana c kwa kupanua huko domoMbona amepanua mdomo sanaaa
Kwenye suala la Mchengerwa na UVCCM umesimama upande gani? Kama Sulle anamtetea Mchengerwa ina maana wewe uko upande wa UVCCM. Nikisemaga wewe ni mwanaCCM mwenzetu uliyepo kimwili CHADEMA unapinga.Unaweza kujikuta unatetea hata usichokijua, ni Aibu sana!
Hebu Mwangalieni huyu Mchumia tumbo
View attachment 3695255
Mimi nasubiri muuane tuKwenye suala la Mchengerwa na UVCCM umesimama upande gani? Kama Sulle anamtetea Mchengerwa ina maana wewe uko upande wa UVCCM. Nikisemaga wewe ni mwanaCCM mwenzetu uliyepo kimwili CHADEMA unapinga.
Aibu kubwa sanaHuyu nae anakaa kabisa anafundisha watu dini dah ......sometime kunyamaza kunajenga heshima sana
Nyani haoni kundule, wewe Erythrocyte siyo chawa wa lissu baada ya kuachwa na mbowe?Unaweza kujikuta unatetea hata usichokijua, ni Aibu sana!
Hebu Mwangalieni huyu Mchumia tumbo
View attachment 3695255
CHAWA unaujua ule msemo wa Vita vya Panzi???Kwenye suala la Mchengerwa na UVCCM umesimama upande gani? Kama Sulle anamtetea Mchengerwa ina maana wewe uko upande wa UVCCM. Nikisemaga wewe ni mwanaCCM mwenzetu uliyepo kimwili CHADEMA unapinga.
Hakuna tajiri chawa, ndio Maana Jiwe alimteka MONyani haoni kundule, wewe Erythrocyte siyo chawa wa lissu baada ya kuachwa na mbowe?
Kwenye suala la Mchengerwa na UVCCM umesimama upande gani? Kama Sulle anamtetea Mchengerwa ina maana wewe uko upande wa UVCCM. Nikisemaga wewe ni mwanaCCM mwenzetu uliyepo kimwili CHADEMA unapinga.
Tunaunga mkono vita ya Panzi kunguru tupo pembeni tunasubiriSie wajibu wetu ni kuchochea kuni za kutosha kusudi moto usizime!.
Wewe Erythrocyte ni chawa wa Chadema. Unaposema maisha ya uchawa ni magumu sana, NAKUELEWA sana!Unaweza kujikuta unatetea hata usichokijua, ni Aibu sana!
Hebu Mwangalieni huyu Mchumia tumbo
View attachment 3695255