ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,638
- 41,963
- Thread starter
-
- #41
Yaan kama unahisi kabisa hutakua nafasi ya kuwahudumia au kuwajali acha tu usiwaleteWanavutia sana lakini nikiwaza namna maisha yalivyo na mateso naogopa sana kuleta watoto duniani waje kuzunguka duara la michosho tulilozunguka sisi
Wanasema kuwa ukiwa na mtoto wa miaka 2 - 5 hivi, halafu akapotea kwenye uwepo wako na huko aliko akiwa kimya, ujue anafanya uchunguzi wenye uharibifu😀. Labda amepasua simu, anaharibu kitasa nkMaskini anaona kabisa leo kuna kitu hakiko sawa na wao wana akili wana uwezo wa kutambua mambo
Hata kama wewe ni bilionea, bado haiondoi uhalisia kwamba ukipata watoto hawatoteseka... Anaweza kutekwa akateswa vibaya sana kisha akauawa au akaachiwa kilema.Yaan kama unahisi kabisa hutakua nafasi ya kuwahudumia au kuwajali acha tu usiwalete
Lakin watoto mbali na kua wanaleta furaha na utulivu
Kuleta watoto duniani ni kama project dunia ili iwepo ni lazima watu wengine waje maana tuliopo lazima tutaondoka
🥰🥰Cchildren are lovely to be around, napenda sana watoto. They're pure and innocent. Mdogo wangu wa kike, anaweza kuniamrisha nifanye jambo la kijinga na nikafanya. Because I find myself taken by her beautyy
Dah watoto bhana 😁😁Wanasema kuwa ukiwa na mtoto wa miaka 2 - 5 hivi, halafu akapotea kwenye uwepo wako na huko aliko akiwa kimya, ujue anafanya uchunguzi wenye uharibifu😀. Labda amepasua simu, anaharibu kitasa nk
Safi kabisa mwanakwetu ila umewaza nini leo rafiki yangu ?Unavutiwa kua na mtoto /watoto?
Watoto wako wamebadili nini kwenye maisha yako?
Wameongeza nini kwenye maisha yako?
Mara nyingi mtoto akiwa mchanga huvutia sana
Namna alivyo na sura yake ya upole anaporusha miguu na mikono huku akikutazama huwa ni jambo la kupendeza sana kuangalia🤗
Mtoto akifika hatua ya kukaa chini, kucheka na kuonyesha yale mapengo yake madogo ya meno, huwa anavutia mno
Watoto wa umri huo wana namna ya kugusa moyo, especially anapokushika shavu na kutabasamu☺️
Na anapoanza kujifunza kutembea, vile anavyotembea, kuanguka kisha kuinuka tena, huwa ni raha kubwa sana kumuona
Kuna happiness ya kipekee ndani yake
Pia kuna feeling nzuri sana pale mtoto anapoanza kuita mama baba dada au jina lako
Kusikia mtoto anakutambua na kujua wewe ni nani kwake, huwa kunagusa moyo sana
Mimi binafsi hupenda sana kumbeba mtoto, kumkumbatia na kumbusu
Hali hiyo hunipa amani, utulivu na furaha ya ndani yaan nahisi msisimko ajabu
Mara nyingi nikimuona mtoto mdogo akiimba au akifanya kitu kizuri, huwa najikuta nikipata furaha mpaka machozi kunilenga
Kwa kifupi, napenda watoto sana
Huwa nawaona kama malaika wenye kuleta upendo, amani na utulivu
Dear children🥰 nyie ni kama maua yanavyochanua ndani ya bustani, like the sun rising and setting with its own beautiful light
Tabasamu lenu wakati mwingine huponya nafsi zilizochoka na kuleta peace ndani ya mioyo ya watu
I truly love children😍
Mna nafasi kubwa sana ndani ya moyo wangu 🤍
Wewe unapenda watoto?
Unatamani kupata watoto wengi?
Au huvutiwi kabisa na watoto?
Kwanini una mawazo negative kiasi hicho?Hata kama wewe ni bilionea, bado haiondoi uhalisia kwamba ukipata watoto hawatoteseka... Anaweza kutekwa akateswa vibaya sana kisha akauawa au akaachiwa kilema.
Kuna ajali, magonjwa na sonona zisizo na sababu huku dunia nayo ikiwa ni mwamba unaoelea hewani pasipo na usalama wa uhakika.... Hivyo ukishagundua hili bora ule zako bata ukija kudanja usiache uzao nyuma/ufe na mbegu zako😄
Sina haja ya kukwambia maana unajua mwana kwetuSafi kabisa mwanakwetu ila umewaza nini leo rafiki yangu ?
Pole sana wengine wakipata watoto wasi wasi ndio unaondokaUkishapata mtoto maisha yako yanabadilika unakuwa mtu wa wasiwasi tu hadi siku unakufa.
Sana aisee yule jamaa ananijua sana aisee. Akirudi shule lazima apige simu akupe stori za shule.Maskini anaona kabisa leo kuna kitu hakiko sawa na wao wana akili wana uwezo wa kutambua mambo
Limeisha wa kwetu, pamoja sana nikitulia nitakurudia masaa ya badaye sana nina jamboSina haja ya kukwambia maana unajua mwana kwetu
Infropreneur njoo umsikie huyu dada anachokisemaUnavutiwa kua na mtoto /watoto?
Watoto wako wamebadili nini kwenye maisha yako?
Wameongeza nini kwenye maisha yako?
Mara nyingi mtoto akiwa mchanga huvutia sana
Namna alivyo na sura yake ya upole anaporusha miguu na mikono huku akikutazama huwa ni jambo la kupendeza sana kuangalia🤗
Mtoto akifika hatua ya kukaa chini, kucheka na kuonyesha yale mapengo yake madogo ya meno, huwa anavutia mno
Watoto wa umri huo wana namna ya kugusa moyo, especially anapokushika shavu na kutabasamu☺️
Na anapoanza kujifunza kutembea, vile anavyotembea, kuanguka kisha kuinuka tena, huwa ni raha kubwa sana kumuona
Kuna happiness ya kipekee ndani yake
Pia kuna feeling nzuri sana pale mtoto anapoanza kuita mama baba dada au jina lako
Kusikia mtoto anakutambua na kujua wewe ni nani kwake, huwa kunagusa moyo sana
Mimi binafsi hupenda sana kumbeba mtoto, kumkumbatia na kumbusu
Hali hiyo hunipa amani, utulivu na furaha ya ndani yaan nahisi msisimko ajabu
Mara nyingi nikimuona mtoto mdogo akiimba au akifanya kitu kizuri, huwa najikuta nikipata furaha mpaka machozi kunilenga
Kwa kifupi, napenda watoto sana
Huwa nawaona kama malaika wenye kuleta upendo, amani na utulivu
Dear children🥰 nyie ni kama maua yanavyochanua ndani ya bustani, like the sun rising and setting with its own beautiful light
Tabasamu lenu wakati mwingine huponya nafsi zilizochoka na kuleta peace ndani ya mioyo ya watu
I truly love children😍
Mna nafasi kubwa sana ndani ya moyo wangu 🤍
Wewe unapenda watoto?
Unatamani kupata watoto wengi?
Au huvutiwi kabisa na watoto?
Siishi kwa ajili ya tuzo, na kama ni tuzo basi watoto ndio tuzo yenyewe...Kuna tuzo?🫢
Ukweli mtupu! Kuna muda nawaza ingekua inawezekana kumsindikiza mtoto kila anapoenda ili kumlinda na walimwengu ila ndo hivyo haiwezekani.Ukishapata mtoto maisha yako yanabadilika unakuwa mtu wa wasiwasi tu hadi siku unakufa.
Safiii hope una furahiaSana aisee yule jamaa ananijua sana aisee. Akirudi shule lazima apige simu akupe stori za shule.
Sawa wa kwetu urudiLimeisha wa kwetu, pamoja sana nikitulia nitakurudia masaa ya badaye sana nina jambo
Nafurahia ukikaa nae huboreki smart kid, mtapiga stori vzr angalau za kitoto. Na atakuuliza maswali kibwena.Safiii hope una furahia
Na jinsi anavyozidinkuwa mkubwa ndo wasiwasi unazidi maana huwezi tena kumlinda. Unakuwa unawaza masaa yote sijui anafanya nini huko, je yupo salama yaani shida tupuUkweli mtupu! Kuna muda nawaza ingekua inawezekana kumsindikiza mtoto kila anapoenda ili kumlinda na walimwengu ila ndo hivyo haiwezekani.