Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,924
- 61,699
- Thread starter
- #61
Hayo ni reject hayatakiwi,yanachafua mazingiraKwa siS wapenda FIAT, TATA,SZUKI,FUSO,SCANIA,COASTER,HIACE,MAN, NA CANTER tunaruhusiw kucomment
Hayo ni reject hayatakiwi,yanachafua mazingiraKwa siS wapenda FIAT, TATA,SZUKI,FUSO,SCANIA,COASTER,HIACE,MAN, NA CANTER tunaruhusiw kucomment
Thread fupi fupi za kukeraa..zimekua nyingi siku izi
Kwa kizungu tunaita RacismHayo ni reject hayatakiwi,yanachafua mazingira
ha ha ha funguka mkuuMmefikia huko kutufananisha na magari? Ipo siku mtatufananisha na ramani za majengo
Mbona miguno? Leo zamu yetu kuulizwa. Siku ikija zamu yenu nitakusubiri hapa kwa hamu nijue wapenda gari gani[emoji16][emoji23]Swahiba.mmnhh
Ha ha ha upo uzi mbonaMbona miguno? Leo zamu yetu kuulizwa. Siku ikija zamu yenu nitakusubiri hapa kwa hamu nijue wapenda gari gani[emoji16][emoji23]
HahahaaMimi napenda Voks Wagen Injini Nyuma
Hahahaa
Si unajua mambo ya shamba,, maporini litapita tu,, na linaghimiri barabara mbovu lakini siyo hivi vi ist, spasso,kwa nini mkuu