Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,924
- 61,699
- Thread starter
- #41
ha ha ha una utani wa ngumi mkuuZile za kubebea majeneza/maiti...
ha ha ha una utani wa ngumi mkuuZile za kubebea majeneza/maiti...
vp wewe ni moja ya mashabiki zangu.umesahau ushuz wako ulokuwa ukiuandika hapo nyuma?
Swahiba.mmnhhNapenda harrier tako la nyani cc 3000
Mbona sikuonipako wazi
Start. conversationMbona sikuoni
kwa nini mkuuAwe Land Rover
Unaweza kuwa dereva mwenyewe tu,mwanzo wa safari hadi mwishoIST ndio saizi yangu mkuu hazina strees
Ni kweli...Wanawake ni binadamu.
Thamani ya binadamu haiwezi kulinganishwa na kitu kingine chochote.
Wanasema ela ni sabuni ya rohoNampenda demu yeyote mzuri ambaye yuko tayari kuvunja mahusiano endapo ukimpa hela
Pesa sabuni ya roho/Wanasema ela ni sabuni ya roho
Ndio mkuu hii ngoma mwanzo mwisho naiendesha labda uzembe wangu tuUnaweza kuwa dereva mwenyewe tu,mwanzo wa safari hadi mwisho
ha ha ha ha haPesa sabuni ya roho/
kwa chaputa ni sabuni ya mb0/
ha ha ha ha haNdio mkuu hii ngoma mwanzo mwisho naiendesha labda uzembe wangu tu
ha ha ha ha hapo dereva lazima atumie nguvu ya ziadaNaikubali sana fuso fighter tandem cc 8200