Halikua kusudio la Mungu kutufanya tufanane, lingekua basi wote tungefanana mpaka unyayo. Alichotupa ni uwezo wa kujiwezesha kuwa sawa kifikra, kiutendaji n.kLakini mkuu, kusudio la Mungu hapo mwanzo lilikuwa kuwa binadamu wote tuwe sawa ktk angle zote, so unaposema inge-bore, unamaanisha nini?
Mimi napenda 1.kula 2.kulewa kidogo 3. Kuwa na marafiki wabishi. 4.mazoezi 5.mapenzi 6.kulala sana 7.ubishi 8.matani 9.kuvaa vizuri 10. Kuoga kwa siku mara tatu kama dosi .je wewe unapenda nini ?
Mimi napenda 1.kula 2.kulewa kidogo 3. Kuwa na marafiki wabishi. 4.mazoezi 5.mapenzi 6.kulala sana 7.ubishi 8.matani 9.kuvaa vizuri 10. Kuoga kwa siku mara tatu kama dosi .je wewe unapenda nini ?
Pesa kwanza mengine mboyoyo tuu.
ukishado nae unamuacha unatafuta mwengine ambae hujawahi kudoo nae?Napenda kufanya mapenzi na mwanamke ambaye sijawahi ku do nae!
Mimi napenda 1.kula 2.kulewa kidogo 3. Kuwa na marafiki wabishi. 4.mazoezi 5.mapenzi 6.kulala sana 7.ubishi 8.matani 9.kuvaa vizuri 10. Kuoga kwa siku mara tatu kama dosi .je wewe unapenda nini ?
mkuu mbuguma kwa huku kwetu ni ng'ombe jike ambaye hajazaa, sijui wewe umemaanisha nini iyo mbuguma. pia sijui wewe ni askari yupi, mwanajeshi au polisi? kama ni polisi basi umesahau kuwa unapenda sana rushwamimi kama askari, napenda kwa saana! Pombe, Mbuguma/wanawake, na Vita. Sina kumb2 nyingine.