Unapenda mpenzi wako akuiteje!!

Unapenda mpenzi wako akuiteje!!

ni stry za maisha ya chuoni ! mie nilikua na rafiki wa kike !sasa nilikua namuona hubby km mtu mzima enzi hizo ananifatilia haha coz ana upara !bas rafik angu akwa ananiambia mbiti huyu sio mtu mzima ni dogo tu km ww !bas toka hapo tukaanza mwita dogo na yy anatuita dogo !since there tukikutana watatu wote tukikaa hakuna cha ushemej wala wife !ni mwendo wa dogo tu !
Sawa umeeleweka dogo
 
Haendi markiti, haendi bombani/kisimani, hafui hajui dukani wala gengenu. Uani nafwagia asubuhi kabla sijatoka na mkaa naleta gunia kila wiki. Nguo zoote nafuaga miye jumamosi.
Mkuu unatania

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom