Mkuu..unatumia jargon10:1 Kama unadilute GIEMSA vile mkuu
Umeona eeh... Kipaja chake Kama Cha kuku mwenye mdondo.[emoji16][emoji23]Na ukimuendekeza utabakia mifupa tu
😂😂 Kwanini?Mchizi wako atakua mgomvi wa kibabe
Kakaa una UTANI Sana kakaaa
Mkuu Hali Ni tete...Hivi Umekosa wa kuwatania, Hata wachagga kweli ??[emoji848]
#Nakutania [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]......Mh nimehamia kwa Wakurya zagarinojoHivi Umekosa wa kuwatania, Hata wachagga kweli ??[emoji848]
#Nakutania [emoji23]
[emoji3][emoji3]...ntakuja na thread Moja kabambe... zagarinojo ataishia kusema mtaachana tuSiku mola akikujalia utaleta mrejesho
Kumbe unaroga wadada wewe.....Uwa na mwambia wewe ni jinga yaana nikakupa number hatujasalimiana hunijui sikujui ukanitafuta .. basi utasikia tajiri kichwa ulitumia dawa sio kawaida yangu[emoji28]
Kwakweli...Tusome tu comments
We CreditAnalyst wakurya ndo tuko romantic kwenye love kama hujui Unaweza kaa na girlfriend wako halafu unastukia damu..[emoji3][emoji3][emoji3]......Mh nimehamia kwa Wakurya zagarinojo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Aiseeee utani wenu Noma Mkuu.We CreditAnalyst wakurya ndo tuko romantic kwenye love kama hujui Unaweza kaa na girlfriend wako halafu unastukia damu..
Kumbe amekukata kidole kwa utani[emoji23]
Lazima muachane TU..hamchukui round.
Sasa olewa na mkurya kabisa ili ueinjoy maisha ya utani[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Aiseeee utani wenu Noma Mkuu.
Ila lazima nimpate mkurya...Siwezi kosa kuwa na nawatani zangu.
Sasa olewa na mkurya kabisa ili ueinjoy maisha ya utani[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Aiseeee utani wenu Noma Mkuu.
Ila lazima nimpate mkurya...Siwezi kosa kuwa na nawatani zangu.
Mkuu Hali Ni tete...
[emoji3][emoji3][emoji3]......Mh nimehamia kwa Wakurya
......[emoji2955][emoji2955][emoji2955]Bila shaka Kuna ambao sio wa kuwatania.
Ni nakos nje njeeeee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu...kabila langu nikilitaja hapa..ntaumia TU roho...ili Mimi na Wakurya Ni watani kikweliUsijari Sana Mimi nipo kama hutojari
Ni mtani Mzuri tuu [emoji4]
Hahahaha Wewe kabira gani !?
. CreditAnalyst kwa hiyo we mtani wangu kuanzia Leo[emoji23]Mkuu...kabila langu nikilitaja hapa..ntaumia TU roho...ili Mimi na Wakurya Ni watani kikweli