Unapenda kumtania nini mpenzi wako?

Unapenda kumtania nini mpenzi wako?

Sasa olewa na mkurya kabisa ili ueinjoy maisha ya utani[emoji23]
Mkuu..Kuna mjomba wangu alinitafutia mchumba mkurya...Seema sikua na habari za ndoa, nikampotezea...

SAIV ntaenda live kumsaka Tarime
 
Huwa nikimpigia simu namuita majina ya wanawake maarufu wazuri.... Movies actresses, musicians na athletes...

Mfano naweza mpigia simu akisema "hello" me najibu "Nambie Beyonce" au nambwambia "Rihanna"

And sometimes huwa nikiwa nae ananiita bro namwita dogo......

Tupo hivyo tukipishana kaugomvi kadogo huwa nasimama kona ya chumba nakunja nne ya kusimama hadi atakuja nishika kunibembeleza....
Hata mimi huwa namuita dogo.
 
Huwaa namtaniaa kwa kumtongozaagaa upyaaa huwaaa anaenjoy sanaaaaaaa
Dah,we r on the same boat... Narudia swagga mpya mpya na naongeza vionjo...basi anachekaaa mpk kuna ck akaangusha Brenda. Ya glass...haaah# utuuzima ni utoto uliokomaaa#
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom