afisakipenyo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2020
- 450
- 785
ha ha hawa kwangu huwa napenda kumtania kuwa yeye ndo aliniapproach....basi ananunaaa....nambembeleza yanaisha....lakini utani hasa kiukweli napenda kumchokoza sana napenda kumng'ata mashavu kila nikiwa karibu yake kiasi kwamba akisogea tu anajua naanza kung'atwa shavu.....hapo ananunaaa nambembeleza yanaisha akinyamaza namng'ata tena.... akiniudhi nanyamaza sizungumzi hata akinisemesha nakaa kimya....na chakula sili hapo ntabembelezwa mpaka nijione mwenyekiti wa ccm...hayo ndio maisha yetu..