My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,603
- 11,896
Hivi Umekosa wa kuwatania, Hata wachagga kweli ??[emoji848]Tusio nawakuwatania tuna comment wapi?
#Nakutania [emoji23]
Hivi Umekosa wa kuwatania, Hata wachagga kweli ??[emoji848]Tusio nawakuwatania tuna comment wapi?
I miss youMimi huwa napenda kumtania kuwa ana chura ya Taifa
Rafiki ulipotea!Mume mwenzangu hajaaribu huko tu?[emoji28][emoji28][emoji28]I miss you
Ndio unakuaje huoutani wa kawaida tu
Hahaha nipo ndugu yangu nimeongeza FamiliaRafiki ulipotea!Mume mwenzangu hajaaribu huko tu?[emoji28][emoji28][emoji28]
Mxxxiiieeeuu. 🤣🤣🤣🤣Mimi ni mwendo wa mguu sawa,ukinitania kizembe nakuuaView attachment 1590407
HapaTusio nawakuwatania tuna comment wapi?
Na ukimuendekeza utabakia mifupa tu
Una madeko mzee babaHuwa nikimpigia simu namuita majina ya wanawake maarufu wazuri.... Movies actresses, musicians na athletes...
Mfano naweza mpigia simu akisema "hello" me najibu "Nambie Beyonce" au nambwambia "Rihanna"
And sometimes huwa nikiwa nae ananiita bro namwita dogo......
Tupo hivyo tukipishana kaugomvi kadogo huwa nasimama kona ya chumba nakunja nne ya kusimama hadi atakuja nishika kunibembeleza....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakuryaHivi Umekosea wa kuwatania, Hata wachagga kweli ??[emoji848]
#Nakutania [emoji23]
Wakurya huwa hatutakagi utani unaweza kusema unatania kumbe ye anakutaka panga kwa kukutania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wakurya
Mchizi wako atakua mgomvi wa kibabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikikumbuka nitarudi kuhadithia tunavyotaniana na mchizi wangu
10:1 Kama unadilute GIEMSA vile mkuu
Mkuuu..kwaiyo hapo ndo mnataniana..kwa kugusanisha mapaja?.