Unapekuliwa hivi halafu unacheka tu daaah

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
May 4, 2012
3,023
1,315
a7f9eecdc10829c0765f85cb49f6d232.jpg
 
Bongo Askari wa kiume hatakiwi kumkagua mwanamke iwapo mwanamke anatakiwa kupekuliwa maungoni na hamna Askari jike basi askari wa kiume anatakiwa amtafute mwanamke yeyote ampekue mwanamke mwenzake,sasa kutokana na wengi kuwa vilaza wa Sheria mtu unaweza fanyiwa hivi asijue kwamba kafanyiwa kosa
Angalia vizuri wote hao ni wanawake wanajua wenyewe wanapofichaga vitu vyao
 
Back
Top Bottom