unaonaje programs za tv zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unaonaje programs za tv zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by rosemarie, Oct 17, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wakuu nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana television zetu,Tbc,Star,Itv nk
  mnaonaje je mnaridhika na huduma yao au unasema tutafanyeje??
  mimi binafsi sijaridhika kamwe,nahisi wanafanya mambo wanayotaka wao,
  je ni muhimu wafanye au waonyeshe tunachotaka kuona??
  mnaonaje wakuu?
   
Loading...