neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 710
- 2,377
naona nyoka mwekundu, mwenye kichwa na mkiaunaona nini kwenye hii pacha?
Habari wakuu naomba mnisaidie wewe unaona nini kwenye hii pacha?????
Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
Ufunuo 13:18
Au nyie al shabab kujilipua na kufuga majiniNAWAKUBALI SANA WASABATO WANACHIMBA SANA
SIO KAMA MAAMUMA WAO KAZI YA KUKEMEA KULA NGURUWE NDO WANACHOJUA
Wasabato hawajui maandiko, wao ni wafungwa wa angano la kale kama wayahudi na waislamuNAWAKUBALI SANA WASABATO WANACHIMBA SANA
SIO KAMA MAAMUMA WAO KAZI YA KUKEMEA KULA NGURUWE NDO WANACHOJUA
Ni Moja ya freemason charter. Iko siku mchezaji wa timu ya nanii.. atafia uwanjani.