Unaona nini hapa??

Unaona nini hapa??

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
image.jpg
..........
 
Kuna raia watatu wamepiga magoti waliovaa nguo mithili ya mnyama tiger...
 
Naona ufito wa mlozi!
well, wadada watatu waliopiga magoti, pia naona kichwa cha tiger
 
Huyo wa mbele anaonekana mtu wa mtandao
 
wawili wa mbele wamekalia sofa na kuinamisha vichwa vyao na wa tatu amepiga magoti
 
:A S shade:

  • A%20S%20shade.gif
    so amazing akili nyingi imetumika kufanya haya maskilz


 
Back
Top Bottom