i'm really stupid,nimeona nowWhite dove
Mmmmh nimetoa majicho hata sioni
Kula karoti kwa wingi...
Na wewe pamoja na karoti zako utashindwa kuona hivi karibuni. Kwa kuchelewa kulala!
Heeh..asante kwa kunifumbua machoAngalia hapo chini kwenye snow kuna njiwa mkubwa tu
Kula karoti kwa wingi...
Kuna Ndege Mweupe
Pole sana aisee,don't be that hard on yourself mkuu,inatokea hiyo.i'm really stupid,nimeona now