Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
2 tu kwa ukanda wa pwani,nikiwa Tanga usambaani mapumziko napiga mara 3 tu kwa wiki,kutegemea na nimefanya kazi gani.Mbona wewe hujasema unaoga mara ngapi kwa siku? Na kwanini huamua kuoga?
Wale wa kujibu "ITATEGEMEA" nishawawakilisha toa like tu nijue unaunga hoja..
Kuoga zaidi au kutooga inategemea mazingira sehemu ulipo, unaweza upo Dar kazini, nyumbani unafika saa 10 kwa siku utaoga mara ngapi? au upo Makambako baridi kali, hapo kwa wiki utaoga mara ngapi?Kuoga ni tabia au mazoea hujengwa tangu utoto,waliokua wavivu wa kuoga utotoni hata wakiwa wakubwa hali huwa hivyo hivyo na kinyume chake husadifu ukubwani.
Je wewe unaoga mara ngapi kwa siku? au waoga kila ukichafuka?
Wale wa kujibu "ITATEGEMEA" nishawawakilisha toa like tu nijue unaunga hoja..
Nilipokuwa mdogo nilikuwa mtata sana kuoga aisee, hii biashara ya kuoga oga ilikuwa ngumu sana kwangu, na popote nilipopata nafasi nilipiga ndefu na maza akijipindua naingia bafuni nafungulia maji weeeeeeeee nikiwa pembeni kisha najipaka maji natoka au pakitokea ugomvi au kasheshe yoyote na maza siogi! akinichapa namweleza wazi siogiii unajifanya kunichapa?Kuoga ni tabia au mazoea hujengwa tangu utoto,waliokua wavivu wa kuoga utotoni hata wakiwa wakubwa hali huwa hivyo hivyo na kinyume chake husadifu ukubwani.
Je wewe unaoga mara ngapi kwa siku? au waoga kila ukichafuka?
Ukilike tu jua upo ndani..🤣 dada nawe kiboko..🤣Mimi nimelaiki tu ila sipo huko