donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
Kama huna kazi za maana za kufanya ndio inabidi uanze kufikiria hivi.View attachment 3404149Hata kama umepanga nyumba, sio kisingizio cha kushindwa kua na ka-portable garden kako, kwa kutumia chupa za maji Tu, unaweza ukaanzisha bustani yako ya mbogamboga na ukawa hununui mboga
Mswahili hajawahi kukosa sababuUpo sahihi kabisa,
Subiri mwenye nyumba akupe masharti yake,
Pili inategemea na eneo ulilopo
Lazima mate yashuke maana mboga za majani zina viagra asiliaSafi sana nikiona mboga mate yanashuka kabisa😋😋😋
Mswahili yupi mkuu, kupanda sio shida unafikiri hayo hatujafanya au ??Mswahili hajawahi kukosa sababu
Napenda mboga mnoLazima mate yashuke maana mboga za majani zina viagra asilia
Ni nzuri sana kiafya Mi mwenyewe ninyime nyama nijazie mbogamboga!Napenda mboga mno
Karibu jijini...View attachment 3404149Hata kama umepanga nyumba, sio kisingizio cha kushindwa kua na ka-portable garden kako, kwa kutumia chupa za maji Tu, unaweza ukaanzisha bustani yako ya mbogamboga na ukawa hununui mboga
Mno hasa mchicha wa kienyejiNi nzuri sana kiafya Mi mwenyewe ninyime nyama nijazie mbogamboga!