Unaniuliza ili nikuone wife material?

Unaniuliza ili nikuone wife material?

Jamani marafiki maswali mengine yanakera.Mtu anakuuliza do you love Sex na hali anajua dhahir hakuna asiye chukiaa sote tunapenda. Nyiee wabwanga acheni kuuliza maswali ya kipumbavu na ya kijinga na ya kizushi, maswali ya namna hii kamwe hayamfanyi mwanaume akuone wewe ni wa kuolewa naye

Jaman hajakosea kunawengine ni too much anataka kujua ni kias tu au ndo chai yk
 
Unamjibu tu hapana sipendi ila ukinipa nitajitahidi hivyo hivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom