monomotapa
JF-Expert Member
- Oct 30, 2012
- 437
- 325
Kale kamsemo ketu "Unanijua Mimi ni Nani" kanasikika kweli awamu hii? Sijakasikia muda sasa......Kimyaaa kabisaaa... Tunaheshimiana mtaani
Kwani huko sinza mnapokaa hukasikii?Kale kamsemo ketu "Unanijua Mimi ni Nani" kanasikika kweli awamu hii? Sijakasikia muda sasa......Kimyaaa kabisaaa... Tunaheshimiana mtaani
Inategemeana unamwambia nani mwingine ukimjibu hivyo anakudunda na huendi kokote wala hulipwiMimi hapo namwambia wewe mende tu.
Akikudunda wewe utakuwa umefungwa mikono.Inategemeana unamwambia nani mwingine ukimjibu hivyo anakudunda na huendi kokote wala hulipwi
Namkumbuka jamaa mmoja yupo hapa mtaani ni mtu wa Arusha kisirani sanaWewe unabishana na mimi unanijua mimi ni nani?
Wapambe wanadandia mwache
huyo mtu mkubwa sana
mimi acheni kumpa ujiko
huyo ni bwege kama walivyo
Mabwege wengine
whatever but they are all sameI don't care who the **** you are
the word order is the problemwhatever but they are all same