"Unanijua Mimi ni Nani" Bado wapo wanaosemaga hivyo?

Operesheni katafunua ndio habari mpya. Hiyo 'unajua mi ninani waulizane hukohuko'
 
i don't care who the f*ck are you.
haka kakizungu kazuri kabisa kuwajibu wanaouliza maswali ya kipuuzi kama hayo.
 
Wale feki waliokuwa wanayatumia, wamepukutika, waliobaki ni original ingawa nao wanakatumia kwa dharula kwa kuwa nao ni expendables tu. Viva Rais kwa kutupunguzia manyanyaso.
 
Wewe unabishana na mimi unanijua mimi ni nani?
Wapambe wanadandia mwache
huyo mtu mkubwa sana
mimi acheni kumpa ujiko
huyo ni bwege kama walivyo
Mabwege wengine
 
Wewe unabishana na mimi unanijua mimi ni nani?
Wapambe wanadandia mwache
huyo mtu mkubwa sana
mimi acheni kumpa ujiko
huyo ni bwege kama walivyo
Mabwege wengine
Namkumbuka jamaa mmoja yupo hapa mtaani ni mtu wa Arusha kisirani sana

Sasa alikuwa kwenye foleni bank ,kuna mbaba mmoja kaikuta foleni sasa kwa ujeuri wke akawapita na kwenda kaunta ,yule jamaa akamwambie mbn hueshimu foleni na umetukuta

Yule baba akajibu,,unanijua mm ni nani,stupid ..ase yule baba alikula kelbu moja matata

Hapo hapo akainua simu na kumpigia afisa mmoja wa polisi yule kjn akachukuliwa na polisi,yule kijana na yy akanyanyua simu akampigia afisa mmoja wa juu kabisa ,yule baba hakuamini
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom