de98
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 732
- 744
Et! Wana jukwaaa wenzangu, we unamchukuliaje mdada umekutana nae tu sehemu mara ghafla ukampenda na kuamua kumtongoza,na akakukubalia.
Then kesho yake akaamua kukutunuku kila unacho kihitaji kutoka kwake!
Wewe kama mwana jukwaa huru utamchukuliaje msichana wa dizaini hiyo?
Then kesho yake akaamua kukutunuku kila unacho kihitaji kutoka kwake!
Wewe kama mwana jukwaa huru utamchukuliaje msichana wa dizaini hiyo?