Unanchukuliaje mdada unaemtongoza leo, kesho anakupa kila unachokitaka kutoka kwake!

Kwa sisi tusiopenda maigizo...tunaamini wa namna hiyo amenipenda/amenikubali jinsi nilivyo;kuliko wale wanaopiga kalenda kwa upande wangu huwa nachukulia kama ninamlazimisha kuwa na mimi wakati hajanikubali.
Hili la Equation x,
ndiyo jibu sahihi kwa Uzi huu....
Unajua mapenzi ni hisia za ndani za mtu , awe mwanamke au mwanaume. Sasa kumkubali mtu na kumtunukia mwili wako ni swala la maamuzi ya ndani ya moyo na hisia juu ya mtu husika. Sasa hapo haijalishi swala la muda wa lisaa , siku , ma wiki , au mwezi au miezi, au miaka ili kumtunukia mwili wake.
Mapenzi ni maridhiano toka moyoni mwa wahusika siyo swala la muda.
Mpaka mtu anamtunuku mtu mwili wake ujue ameridhika na wala hajalazimishwa, ni amehiari mwenyewe.
Kwahiyo kutunuku siku hiyo hiyo kesho yake haimaanishi huyo mwanamke au mwanaume ni Malaya au muhuni. Hapana.
 
Et! Wana jukwaaa wenzangu, we unamchukuliaje mdada umekutana nae tu sehemu mara ghafla ukampenda na kuamua kumtongoza,na akakukubalia.

Then kesho yake akaamua kukutunuku kila unacho kihitaji kutoka kwake!

Wewe kama mwana jukwaa huru utamchukuliaje msichana wa dizaini hiyo?
kwangu mimi ni vizuri si kanipa mwenyewe na jenga na mzinga
 
Wewe wasema umemtongoza leo kesho una pewa uroda. .

Mimi last weekend nilitongoza manzi 1 Aliponipa # yake tu. .nikamchek na kumuomba tukutane somewhere. .tulipofika huko nika muomba mchezo na akanipa tunda. .

..Yaani namba nilipewa saa 6 mchana Jioni saa 10 Tukawa somewhere tume pumzika. .Ajabu ni Kwamba nimetokea kumuelewa ile mbaya. .kani gusa kwa mtima
 
Kwa sisi tusiopenda maigizo...tunaamini wa namna hiyo amenipenda/amenikubali jinsi nilivyo;kuliko wale wanaopiga kalenda kwa upande wangu huwa nachukulia kama ninamlazimisha kuwa na mimi wakati hajanikubali.
Umenena haswa ukweli mtupu mkuu
 
Siamin kama anaweza kukupa bila wew kuomba
Any way wadada nao binadamu
Kama kesi basi na wew usiombe
Na akikupa usidumbukize kojoleo lakk
Kuomba lazima uombe ila wengi hutegemea kupokea jibu la hapana but, yeye anakwambia haina shida ni ww tu
 
Si ungemwambia ni mapema sana kunipa uchi. Mie nilikuwa natania tu sikuwa serious. Tusubiri hadi July 2020 ndiyo itakuwa muda muafaka wa kunipa kummer.

Wanaume wengine banaaaa!
Hakuna mwanaume wa dizaini iyo anaekataaa uchi
 
Wanawake wa style hiyo huwa na dumu nao sana sana kuliko wale wanaonisumbuaga..wale wasumbufu huwa baada ya kunisubirisha muda mrefu huwa nikichovya na kukuta yaliyomo hayamo Huwa sigeuki nyuma..wale wa chap kwa haraka kama hao unaowasemea aseee most of them wana mapenzi ya kweli na sio Wazee wa drama.
Exactly mkuu!
 
Binafsi namuelewa viuzri sana.

Ila mwanamke atakayeniambia subiri tuzoeane kesho yake simtafuti tena na namba yake ya simu nafuta. Sipendi usumbufu wote tumeshakuwa watu wazima kama kuzoeana tutazoeana vizuri vikojolea vikiumana.
 
Sioni tatizo lolote.

Mambo ya kuanza kusumbuana, kuhangaishana ni kupotezeana Muda.

Muda wenyewe uko wapi wa kuanza kubembelezana Kimapenzi!?

Hiyo ndio yenyewe, unaulizia KALI na kinaeleweka.

Maisha yenyewe mafupi haya.

Eti nisubiri Miezi Sita bila ya kugusa!?

Halafu kuna mwenzako mwingine anapewa kiulaini kila anavyotaka, hiyo siyo kweli
Hapo, unakuta hii inatokea hasa kwa mtu mnaejuana muda mrefu na alikua anakuelewa
Sasa ukipata nafasi ya kutoa ya moyoni nae anaona hana fursa ya kukunyima naniluu
 
Hili la Equation x,
ndiyo jibu sahihi kwa Uzi huu....
Unajua mapenzi ni hisia za ndani za mtu , awe mwanamke au mwanaume. Sasa kumkubali mtu na kumtunukia mwili wako ni swala la maamuzi ya ndani ya moyo na hisia juu ya mtu husika. Sasa hapo haijalishi swala la muda wa lisaa , siku , ma wiki , au mwezi au miezi, au miaka ili kumtunukia mwili wake.
Mapenzi ni maridhiano toka moyoni mwa wahusika siyo swala la muda.
Mpaka mtu anamtunuku mtu mwili wake ujue ameridhika na wala hajalazimishwa, ni amehiari mwenyewe.
Kwahiyo kutunuku siku hiyo hiyo kesho yake haimaanishi huyo mwanamke au mwanaume ni Malaya au muhuni. Hapana.
Kabisa hujakosea mkuu
 
Huyo sio kuwa ni malaya, inawezekana amekaa mda mrefu bila kugegedwa kwahyo wakati unamtongoza kisimi kilikuwa kinarukaruka na labda usiku huo hakalulala. Kesho yake akaona kwanini ateseke akaamua kukutunuku mbunye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom