Unanchukuliaje mdada unaemtongoza leo, kesho anakupa kila unachokitaka kutoka kwake!

de98

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
732
739
Et! Wana jukwaaa wenzangu, we unamchukuliaje mdada umekutana nae tu sehemu mara ghafla ukampenda na kuamua kumtongoza,na akakukubalia.

Then kesho yake akaamua kukutunuku kila unacho kihitaji kutoka kwake!

Wewe kama mwana jukwaa huru utamchukuliaje msichana wa dizaini hiyo?
 
Kwa ufupi.. Kama hujaenda kununua mwanamke ..

Basi kwa Mwanamke kukupa kila kitu huitaj ajenge hisia .

Naukiona amekupa kesho yake ujue
Umemlazimisha sana tu ingawa amegoma lkn umekomaaa sana tuuu
Basi tu kakuelewa na ye anagenye.


Sema nn... Mwanamke kukubali nakukupa mzigo siku iyiiyo....au akupe mzigo baada ya miezi kadhaa SIO KIPIMO CHAKUJUA NI MALAYA AU LAH.
 
Si ungemwambia ni mapema sana kunipa uchi. Mie nilikuwa natania tu sikuwa serious. Tusubiri hadi July 2020 ndiyo itakuwa muda muafaka wa kunipa kummer. 😜😜😜😜

Wanaume wengine banaaaa! 😳😳😳

Et! Wana jukwaaa wenzangu, we unamchukuliaje mdada umekutana nae tu sehemu mara ghafla ukampenda na kuamua kumtongoza,na akakukubalia.

Then kesho yake akaamua kukutunuku kila unacho kihitaji kutoka kwake!

Wewe kama mwana jukwaa huru utamchukuliaje msichana wa dizaini hiyo?
 
Wanawake wa style hiyo huwa na dumu nao sana sana kuliko wale wanaonisumbuaga..wale wasumbufu huwa baada ya kunisubirisha muda mrefu huwa nikichovya na kukuta yaliyomo hayamo Huwa sigeuki nyuma..wale wa chap kwa haraka kama hao unaowasemea aseee most of them wana mapenzi ya kweli na sio Wazee wa drama.
 
Huenda health status yake iko mashakani gusa unase miwaya hatari!

Kuna watu wamejikataa nafsi zao kabisa! Watu wa hivyo ni hatari sana kuwa nao karibu!

Kuna watu wako kusubiri watakaoingia kichwakichwa wawaambukize!
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom