Unamwabudu shetani Bila kujua!

sekulu

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
988
157
Siku hizi ni kawaida watu na vijana waliowengi kuntukuza shetani bila ya wao kujua. ni mbaya sana. Na siku ya mwisho Kila mtu atawajibika!
 
Siku hizi ni kawaida watu na vijana waliowengi kuntukuza shetani bila ya wao kujua. ni mbaya sana. Na siku ya mwisho Kila mtu atawajibika!

ungetueleza tunaabuduje ili tuweze kuacha.....sasa unatuambia kama unatusimulia adisi ya abunuwasi?.....vipi bana
 
Siku hizi ni kawaida watu na vijana waliowengi kuntukuza shetani bila ya wao kujua. ni mbaya sana. Na siku ya mwisho Kila mtu atawajibika!

Umetoka moja kwa moja njia ya msalaba na kudondoka JF!
avatar35646_1.gif
 
au wewe ni Kakobe?...wee Kakobe wee.....hujatupata bado....hatushikiki kirahisi hivyo
 
Unzfahamu symbol hizi na na nyingi zake utakuta zinatumiwa sana na vijana either kwa kuonyesha kwa mikono au kuvaa kwenye nguo??

Na kwa kufanya Hivo ni kumtukuza shetani?? All_Seeing_Eye_5_Seattle.gif 3828-22.jpg goathead3.gif img4.JPG images.jpg 666gaga.png

Ogopa sana Watu wanaopaka Rangi nyeupe usoni esp wanamuziki na wanamieleka: Maana ya kile kitu ni kwamba wao wamekufa na miili yao imehamiwa na shetani

Pia wanamuziki wengi sana tunaowapenda wamo humo!

Kwanzia Michael Jackson, lady Gaga, Beyonce, Jay Z, lil wyne, Rihaha, Chris brown(Jaribu kuusikiliza vizuri wimbo wa Fallen Angel Utaja ninachokizungumza na habari ya mungu kumfukuza shetani)

Sijatoka njia ya msalaba ila nipo kwenye njia ya msalaba!
 
Hiyo alama ya jicho ni alama mpya ambayo ipo kwenye nguo za Rocka Wear!
 
Yani wewe mwenye location |Church Hujui pia??, R u serious?? Unampenda Michael jackson??

sekulu,,,ulipoandika thread uliassume watu wote wako na hiyo location ya church?tunapofundishwa huku church na watumishi si wanajua wote tuna bible ama?ilibidi uainishe kny thread yako kwamba unataka ujumbe gani utufikie,,kama ni massons,au nini?nimetoa tu mf.bda ya kumtaja huyo mike.......
 
Na unakumbuka mistari ya Michael Jackson kwenye we are the world???

Send them your heart
So they'll know that someone cares
And their lives will be stronger and free
As God has shown us by turning stone to bread
So we all must lend a helping hand

Ni kweli mungu alifanya Hivo??
Unakumbuka shetani alijibiwa nini na yesu??

Na unajua madhara ambayo yangeweza kutokea kama yesu angekubali kugeuza jiwe kuwa mkate??

Fikiria kisha jipange!

Naowaombeni someni kuhusu aliester Crowley, Someni kuhusu OTO (ordo templi orientis), alafu search kuhusu kitabu kinachoitwa 777 kimenadikwa na Aliester Crowley

Nadhani Mhandisi, mkandarasi, mama mchungaji,wiselady,sizinga,Presta na mdoe tuko pamoja!, Kimini pia kyabushaija(Mussaja)
Tuko pamoja!
 
sekulu,,,ulipoandika thread uliassume watu wote wako na hiyo location ya church?tunapofundishwa huku church na watumishi si wanajua wote tuna bible ama?ilibidi uainishe kny thread yako kwamba unataka ujumbe gani utufikie,,kama ni massons,au nini?nimetoa tu mf.bda ya kumtaja huyo mike.......

Ndo maana nimekwambia Tunamwabudu bila kujua ni kupitia kwa wanamuziki na alama mbali mbali tunazokutana nazo, I hope sasa tuko pamoja na pia kama unataka Videoz nambie nitakutumia ninazo kuna vitu vingi shetani anafanya na wanadamu wanavipenda na wanaviabudu bila kkujua kwamba kwa kufanya hivo ni kumwabudu Shetani,

OBAMA " Yes we can maana yake ni Thank you Satan" Wataalamu wanaita Reverse play!
 
Bwana bwana!!!!
Haya mambo haya Taratibuuuuuuuuuuuuuuuu jamani!!!
 
NI KWELI ISIYO NA SHAKA YEYOTE KUWA WENGI WANAMWABUDU SHETANI WAKIFIKIRI NI KWENDA NA WAKATI, YESU KRISTO ALIPOSEMA IMEKWISHA ALIMALIZA YOTE MSALABANI NA MTU MWINGINE YEYOTE ASIYE ENDA NA NENO LAKE YUKO KINYUME NAYE, YESU ALIWAAGIZA WANAFUNZI WAKE AKIWAAMBIA 1.LUKA 10:9 WAPOZENI WAGONJWA WALIOMO,WAAMBIENI UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA.
2.Mathayo 10;7-8 HUBIRINI MKISEMA UFALME WA MUNGU UMEKARIBIA, POZENI WAGONJWA,FUFUENI WAFU,TAKASENI WENYE UKOMA, TOENI PEPO.
NI KWA NENO LA IMANI KWANZA ASIYEFANYA HIVYO AFANYA KWA NGUVU NA UWEZA WA SHETANI - Hivyo hatuhitaji uponyaji wa kuoteshwa tena:angry::angry: mtapona kwa muda lakini mtakuwa watumwa wake shetani,KISHA ATAWAMALIZA MAANA TAYARI MMEPA NAFASI, Kusudi lake daima ni moja tu asiende peke yake motoni ( je hujui kuwa shetani hana nafasi ya kutubu??????????!) POLENI SANA WA LOLIONDO.2Wakorinto 4:3-4 mungu wa dunia hii amewapofushafikra zao wasioamini isiwazukie nuru ya injili yautukufu wake KRISTO YESU aliye sura yake MUNGU.
 
Back
Top Bottom