Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
nakumbuka siku za mwanzoni nikawa nimeshikwa hamu, akaniambi yuko kwenye siku zake.
Nikamwambia mbona hujavaa pamba, akajibu amechomeka pamba kijiti (hizi nadhani zimetoka siku za karibuni)
akaniambia huoni nje kuna kauzi kananing'inia?
Nikamwambia kwa jinsi nilivyio na hamu natamani nikavute haka kauzi.
Basi tangu siku hiyo nikiwa nimemmiss na nina hamu na chakula cha roho huwa namtumia msg na kumwambia kuwa nina hamu ya kuvuta ka uzi.
basi huo ndio msemo wetu.