Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
Mkuu,
Mbona wameulizwa wenye GF/BF? Hivi mke au mume ni BF/GF???
Nadhani tuwaachie watoto wafanye mazoezi ya kubadili rika!!
Kama mapenzi yenu hayatambuliwi na Gov ya Mkw,e.re Huyo mama watoto au baba watoto ni BF na GF tu Jukwaa lako