First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
- Thread starter
- #21
Hamna lolote hapa mimi ntafuta wakusheya na spati iweje wapekee.
ngumu sana...
Hamna lolote hapa mimi ntafuta wakusheya na spati iweje wapekee.
hapo ndo nakukazia tamaa ili usipate pressure za bure kwa kutokujua kushea na wenzioo..
toba....!!!!!!!
hapanifai hapa mmmmmmh
haya tupo wangapi?
wife mambo? ninatoa somo ili watu waelewe mke wangu.. sipo hivo naamini hata ww unalijua hilo.. lakin haya mambo yapo hayapo?
Acha uongo mbona mi nipo pekeangu?
ha ha ha haaawe nakukubali.. hakunaga maswali yaniboaga kama demu kuniambia kama yuko peke yake.. khaaaa?
loooh almanusura nianguke kwa presha
mi mzima sana
ndo kusema wewe haupo hivyo ila unaona sawa tu kuwe na michepuko? au mimi ndo sijaelewa?
Mh, nimeingia choo cha kiume apa!!