Huyu mwanamke ana akili sana,
Apewe moyo na ushauri wa kumalizana na muuza genge...Hawa ni kama matope na maziwa....hawawezi kuishi pamoja hata kwa mtutu wa bunduki.
Wanawake wenye akili zao huwa hawadate wadogo zao au watu ambao wana hadhi ya chini yao.
Kama kuna mwanamume hajui ukweli huu basi maumivu ni halali yake!!
Babu DC!!
liongo. Miaka 20 af amesoma ad 6 na kamaliza chuo??? Kudadadeki
Babu kwa makavu hahaha! Same goes for men, stukaa!
So unachomaanisha ni kuwa unavyomkuta mwenza na kumpenda muache hapo hapo kwa hadhi yake na usihangaike kumnyanyua? Manake wanawake tunastruggle, mwanaume umempenda hana kitu. Mnajenga na kununua magari ya maana huku ukiafanya 'maarifa' yale ya The Boss. Lakini mambo yakinyooka anatafuta mrembo wa haja wa hadhi yake na anaejua kutembelea red carpet! Labda kazi ya maendeleo iwe entirely kazi ya mume?
Hahaha! Katushikaje masikio poo? 7+4+2+1 idle year+3 univ. Alianza std 1 akiwa 3 yrs old. Chezeiya magomeni?
Hahaha! Katushikaje masikio poo? 7+4+2+1 idle year+3 univ. Alianza std 1 akiwa 3 yrs old. Chezeiya magomeni?
ndio maaana nimeshindwa hata kuchangia hii mada maana ni uongo mtupu
liongo. Miaka 20 af amesoma ad 6 na kamaliza chuo??? Kudadadeki
Nimeona na kusikia mifano mingi ya hivyo hasa wanawake wengi wanaofadhiliwa kwa kutoa kikojoleo huwa wanageuka na kuwa hivyo, ila ninachoshauri kwa wanaume wenzangu, ukitaka kumkoga mwanamke hadi aje akukumbuke hata akiwa ameolewa na anaingia kaburini, kama unauwezo wa kumsaidia msaidie tu na katu isiwe kikojoleo ndo dhamana yake, na hata akitaka kukupa mwambie nakusaidia tu kama binadamu mwenzangu na sio kwa ajili hicho kidude chako. halafu endelea kumsaidia hadi atimize malengo yake, nakwambia hivi, hata wakimwijia watu wa aina gani lazima atakushirikisha umshauri na hata kukuhangaikia kifikra. lkn ukichovya yeye akili yake kwamba amekulewesha kimahaba na ndo malipo yako kwa kumsaidia. toeni kuwasaidia kama sadaka. lkn inajenga mahusiano mema zaidi kuliko kuinvest kwa sababu ya kupata pozeo la kikojoleo.liongo. Miaka 20 af amesoma ad 6 na kamaliza chuo??? Kudadadeki
Aisee 😀
-"Wanawake wenye akili zao huwa hawadate wadogo zao au watu ambao wana hadhi ya chini yao."-
.......Swahiba, is this really coming from you au ni usingizi tu ulikupitia?
No wonder wanaume wengi wenye mawazo pumba hawakubali wake zao kujiendeleza kielimu na hata kuchukia wake zao wanapopata mafanikio ya kikazi au kibiashara (uanaume wao usijeshuka hadhi!)
Mapenzi na Ndoa Mungu ndie anajua timiza wajibu wako na mengine Mwachie MUNGU
mkuu maprosooo naona unawachokoza watu walio gender sentive kama mwanaharakati ciello shauri yako watagomea mechimbona heading haiendani na maudhui ya sred?acha kugeneralise na kuwalisha wenzio sumu,women are nt uniform objects.
Mimi ni msichana wa miaka 20 naishi magomeni jijini dar nimejitokeza kwenu kushare tatizo langu. mimi sina wazazi wote walifariki kwa ajali ya gari mwaka 1998, Mimi waliniacha nasoma shule ya msingi. Sasa baada ya kumaliza nilifanikiwa kujiunga na sekondari nilisoma hadi form 4 nikamaliza pia nikapass mitihani yangu. nikatakiwa kidato cha tano,kabla sijaenda shule nilibahatika kupata mchumba muuza genge na akaahidi kunisomesha kwani mimi nilikosa ada. Nashukuru mungu kanisomesha hadi chuo kikuu na nimemaliza hadi sasa nimepata kazi yangu. siwezi kuishi na muuza genge hata siku moja kwanza hajui kuvaa akapendeza pili hana elimu.Sasa je nifanyeje kumwambia ukweli kwamba mimi siwezi kuishi na yeye bila kuumiza moyo wake.
"NIMEIKUTA MAHALI NIKASHIKWA NA BUTWAA NIKASHINDWA KUCOMMENT .........HIVI MTU KAMA HUYU UTAMSHAURI NINI!!"
lara 1tehe!tehe!kama ulivyokopwa na sharo kwa wachina...kudadeki watu wabaya!wabaya!Hahahaaaa! Hili ndo jiji banaaa, tenda wema uende zako, usingoje shukrani!!!! Muuza genge kakopwa huyooo! Dawa ni kutoinvest kwa mwanamke utegemee longterm returns!!!! Dawa ni kuendelea KUDOKOA investment yako daily hata siku ikikupiga chini ushafanya depreciation of asset ya kutosha tuuu. Ukiwekeza uje ule bdae!!!!! WENZIO WANAKUJA KULA NA HAWAMBAKISHII BABA!!!!
mbona heading haiendani na maudhui ya sred?acha kugeneralise na kuwalisha wenzio sumu,women are nt uniform objects.