HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
- Thread starter
- #21
Hahahaha kwaninikwa tabia za miss natafuta na miss chagga,,,!!! Bora wa Kiume.
Hahahaha kwaninikwa tabia za miss natafuta na miss chagga,,,!!! Bora wa Kiume.
Perfect comboNice kma mm
Daaaaaah hongera xanaMi natamani kuwa na wote japo nimepata madume matatu na sina wa kike.
wasubiri, watakuja..Hahahaha kwanini
Sawah mkuuPerfect combo
Hapana mkuu ng'ombe wa kike ni female cowKwani ngombe was kike pia ni " cowgirl"?
Ungekua mfugaji usingeshangaa hili...
Sawah sawahwasubiri, watakuja..
KwaniniMimi napenda wa kike
DuuuuuihUngekua mfugaji usingeshangaa hili...
Watoto wa kike huwapenda wazazi wao kutoka moyoni na kuwakumbuka milele!Kwanini
Kwani ngombe was kike pia ni " cowgirl"?
Watakoma sasaHapana mkuu ng'ombe wa kike ni female cow
Daaaah hongera sanaWatoto wa kike huwapenda wazazi wao kutoka moyoni na kuwakumbuka milele!
Jinsia zote...
WooooooohWote but napenda 1st born wangu awe baby girl