Unampenda mtoto yupi wa kike au wakiume ?

Mtoto ni NEEMA NA BARAKA KUBWA KUTOKA KWA MUNGU, HAUTAKIWI KUCHAGUA MTOTO YUPI ,BALI POKEA MTOTO KAMA ZAWADI, WASIO NA WATOTO UKIWAELEZA HAYA UNAWEZA KUWATOA MACHOZI.
PIA FIKIRIA , KAMA UNAMPENDA MTOTO WA JiNSIA MOJA HALAFU USIPENDE JINSIA NYINGINE TAMBUA NI KOSA, WEWE NI MFANO MWEMA, KATI YA BABA NA MAMA YAKO (YANGU) NANI NI MUHIMU KWAKO!? JE, LEO UNGEKUWA WAPI KAMA KATI YAO MMOJA ASINGEKUWEPO?
UKIENDELEA KUFIKIA HILI KTK AKILI YAKO MWISHO ITAKUWA NI LAANA!MTOTO NI MTOTO NA NI ZAWADI ,POKEA TO!!
vizur sana mkuu
 
Usimtishe mwenzio hata Mungu anashauri tuwe na specific choice. Hajasema kwamba hataki kabisa wa kike na wala hajamtukana Mungu ila amesema upendeleo wake, kusema anaetaka hakumfanyi ndo ampate ila amesema anachopenda endapo Mungu ataskia kilio chake. Hujawahi kuona wanandoa wanapanga wapate mtoto gani wanaamua kutumia njia zinazoweza kufanikisha kumpata huyo mtoto?

Nyie ndo msiojiamini mnashindwa kusema upendeleo wenu, hakuna mtoto yeyote Duniani, kuna mtoto wa kike na wa kiume tu, Na unachokiamini ndo kinakuwa, hivyo kila mtu na imani yake. Usiishi kwa woga, Mungu hana roho kama ya binadamu, ni Mungu mwenye Rehema
Daaaaaaaah vizur sana mkuu
 
Sema ukweli, Lazima kutakuwa na jinsia ambayo moyo unapendelea zaidi japo unasisitiza yoyote kwa kuogopa kusema kwa watu kwa kumuogopa Mungu wakati anaujua moyo wako . Kama sivyo basi utakuwa dhaifu maana binadamu katika vitu viwili hupendelea kimoja zaidi japo vyote anavihitaji
Woooooh hongera sana ndugu
 
umesema sahihi kabisa, hichi ndo kitu ambacho hawakielewi sababu ya uoga, wanasema wanamwogopa Mungu asiwanyime kabisa wanafikiri Mungu ni wa aina hiyo. Hata Mungu anasisitiza demokrasia anampa mtu nafasi ya kuchagua japo muda wote hutimiza mapenzi yake haijalish umechagua nini
Ndio lkn nashangaa wanaogopa kusema
 
wangu awo aisee wakike na kiume niliwapata bila kutegemea ila nashukuru aisee wametuletea furaha
b441490015752b63b7645a68f5d200af.jpg
Wooooh
 
Back
Top Bottom