Unampenda lakini hakupendi

Hata kama amerudia hii haiwezi kuunganishwa na ya mwanzoni kwani moderator wako bize kuziondoa au kuziunganisha thread za kisiasa na zinazokosoa utawala
 
Ukiona anakufanyia hivyo mwache fastaa aisee hakufai huyo, hiyo ndio tabia yake halisi
 
Umegusa asilimia 99.8 ya jf member w humuu
 
kuwa ignored hta na hayo mapenz yatapungua km sio kuisha kabisa. I think i have too much pride or a big ego
 
Nimewahi kupenda sana na kupendwa mno, nadhani haya mawili yamenipa uzoefu mkubwa sana kimaisha maana kunyanyasika kimapenzi kwa kuwa nampenda mtu, huwa siwezi, hata nikijitahidi vipi kuwa zuzu,nilishashindwa, huwa nazinduka haraka sana mpaka mimi mwenyewe nakereka. Namic yale mapenzi ya upofu, kujiachia kama taahira hivi na kumkabidhi mpenzi moyo wote, wallet na ubongo wote lakini siwezi kabisa.
 
Pole sanaaa//...
 
Hivi kweli mtu hujui kama hupendwi mpk ufanyiwe vituko au ndo love is blind, mpotezee na ww siku akiona umuhimu wako atakutafuta tu
Hahahaha
Unajua , sku nyingine humtafuti hata sku mbili ila baadaye we mwenyewe una anza kujichekesha, kwa kweli ukimpenda mtu asiye kupenda ni sawa na kuwa na sindano za masaa.
*ulisha wahi kukutana na mtu the best word unapenda kumwambia is i love you, lakini kwake ni the last word she/he will want you to say!!!?

Hahahaha worst experience kwenye love ndio hiyo
 
ntakupenda sawa lkn nikiona kila siku mm wa kuanza salaam apana kwakweli na mm nachuna najua ntakua naumia sana sbbu nakupenda sana lkn sina jinsi ntazoea tu mpk nakuja kukuona wa kawaida alaf ww sasa ndo unaludi kwa kasi
 
Nomaaa sana
 
ntakupenda sawa lkn nikiona kila siku mm wa kuanza salaam apana kwakweli na mm nachuna najua ntakua naumia sana sbbu nakupenda sana lkn sina jinsi ntazoea tu mpk nakuja kukuona wa kawaida alaf ww sasa ndo unaludi kwa kasi
Hahaha
Haiwagi that simple shunie , katika vitu niliwahi kujifunza ila kwa taabu ni hiyo kitu
Mtu yaan unampenda mpaka unahisi umerogwa, halafu ukimuangalia yuko na wewe kwa sababu flani tuu, ila yuko disgusted yaan kuwa na wewe
Shidaaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…