Unampa dogo maksi ngapi kwa huu ubunifu

Unampa dogo maksi ngapi kwa huu ubunifu

100%
Lait mtu akaamua kuwekeza kwa huyu dogo kimkataba kabisa katka masomo yake baada ya miaka 15 tu watafanya ktu kimoja kikubwa sana
Dogo born talented
Unaingia mkataba na dogo wa miaka 15 ukitegemea utauheshimu akifika 18 hiyo sawa na kucheza Biko matokeo utayajua akikua tu!.
 
Unaingia mkataba na dogo wa miaka 15 ukitegemea utauheshimu akifika 18 hiyo sawa na kucheza Biko matokeo utayajua akikua tu!.
Hizi ndio akili za muafrika halafu baadae mnaanza kujilaumu ooh kwann Afrika hakuna maendeleo.
 
Namwona Greatest Architecture of the Future!
 
1:100
IMG_20180721_132958.jpg
 
Huyu Moja Kwa Moja Akasomee Achtect /civil Drafting. Huyu Ana Kipaji Hicho Ila Kwa Mfumo Wa Elimu Uliopo Hicho Kipaji Atapotea Nacho Kusikojulikana. Hatuna Utamaduni Wa Kuibua,kukuza Na Kuendeleza Vipaji Vya Watu Wetu Tunashangaa Tu. Huyu Ni Hazina Kubwa Sana Kwa Taifa
It's true kipaji kama hiki kinaweza kupotea mahali oasipojulikana. Mfumo wa elimu tuliyonayo utamlazimu kupitia njia ambayo ina milima na mabonde ya kutosha. Ni kiwa na maana uwezo peke yake wa kubuni hautoshi lazima darasani pia awe vzr ili aweze kufikia lengo. Naona palikua na kila haja ya baadhi ya fani zilizo kiutendaji wa kubuni zaidi ziendelezwe kinamna yake ili kutokuja kuvipoteza vipaji hivi. Namtakia kila la kher
 
Angekuwa ulaya angeendelezwa na kipaji chake
 
Back
Top Bottom