majibu yake keshokutwaHata kama kaiga mkuu fanya umpe tu hata buyu
Acha kuwa negative weweHuyu Moja Kwa Moja Akasomee Achtect /civil Drafting. Huyu Ana Kipaji Hicho Ila Kwa Mfumo Wa Elimu Uliopo Hicho Kipaji Atapotea Nacho Kusikojulikana. Hatuna Utamaduni Wa Kuibua,kukuza Na Kuendeleza Vipaji Vya Watu Wetu Tunashangaa Tu. Huyu Ni Hazina Kubwa Sana Kwa Taifa
Kivipi ?View attachment 814338
Acha kuwa negative wewe
Safi sana mkuu nitafanya mpango wa kumfuatilia vizuri tuone tunafanyajeNampa 100% asirudi nyuma na wala asione aibu kuelezea watu vipaji vyake naamini ana akili sana huyo dogo!
Aombe michango ya kujiendeleza!
Ajipange vizuri!
Wafadhili wa kumsomesha tupo!
Mola ambariki kwenye his endeavors!
Kwa kweli!Safi sana mkuu nitafanya mpango wa kumfuatilia vizuri tuone tunafanyaje
Kwa kweli!
Sadaka yenye manukato ni kuwadaidia vijana kama hawa walahi
Unampa dogo maksi ngapi kwa ubunifu huu?
Unazani akiwa mkubwa afanye kazi gani?
Je! Kuna namna yakumsaidia kutimiza ndoto zake? Naomba tushaulianeView attachment 814317
True mkuuHuyu hastahili maksi zozote, ni kumteka tu na kumkibiza shule ya bweni akaendeleze kipaji chake maana akiachwa tu hivi hivi atakuja kujiingiza katika ujinga wa bongo fleva muvi kisha baada ya miezi tu tutamuona kaandikwa magazetini anabugia unga ama anashindana na malimbukeni kina Diamond kutekeleza watoto na mademu wao. Atekwe tu na watu wa NHC na kupelekwa shule.
Negative ? Labda Kinyume, Lakini Ukweli Ndiyo Huo.View attachment 814338
Acha kuwa negative wewe
Sinaga Roho Ya Umasikini Wala Vivu. Tz Kuna Vipaji Vingi Sana Ila Hakuna Wa Kuvivumbua,kuvikuza Na Kuviendeleza Kwa Manufaa Ya Taifa.View attachment 814338
Acha kuwa negative wewe
Umeweka Bango Lisiloendana Na Maudhui. Soma Vizuri Na Elewa Koment Inamaanisha Nini? Huo Umasikini Na Roho Mbaya Itoke Wapi ISIS ?View attachment 814338
Acha kuwa negative wewe
Huyo mtoto ningempa 99% ila kamilisha maelezo jeUnampa dogo maksi ngapi kwa ubunifu huu?
Unazani akiwa mkubwa afanye kazi gani?
Je! Kuna namna yakumsaidia kutimiza ndoto zake? Naomba tushaulianeView attachment 814317
Hata kuwa balozi wa ten house mkuu. Hahahaah, mifumo ya nchi yetu hainaga utamaduni wa kuheshimu vipaji wala taaluma za watu wake. Usipojiangalia mwenyewe unaweza ishia kupoteza kipaji.Anaweza akachukua nchi sio