Radhia Sweety umenifanya nipate nguvu za kulitumikia taifa asubuhi hii baada ya kunichekesha na kuongeza uhai wangu.Vipost vingine utapiamlo mtupu
jaribu kuandka mada yako vzur
Please jamani naomba kujua kashfa zilizowaondoa watu kama Abobakar Mgumia wizara ya Maliasili na utalii
Please jamani naomba kujua kashfa zilizowaondoa watu kama Abobakar Mgumia wizara ya Maliasili na utalii
Hebu kwanza jipange vizuri uje na mada iliyokamilika vizuri.
Me namkumbuka, vp wewe umemsahau?
Naomba kujua kashfa zipi ziwatoa mawaziri maliasili na utalii tangu Uhuru. Mf. Dr Ngasongwa!