Unamkumbuka Ngasongwa?

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
Naomba kujua kashfa zipi ziwatoa mawaziri maliasili na utalii tangu Uhuru. Mf. Dr Ngasongwa!
 
Vipost vingine utapiamlo mtupu
Radhia Sweety umenifanya nipate nguvu za kulitumikia taifa asubuhi hii baada ya kunichekesha na kuongeza uhai wangu.

Nimekumbuka wakati uleeee miaka ya 47 nikiwa nasoma somo moja likiitwa Sayansi Kimu (hata maana ya kimu siijui). Wakati huo tukiambiwa mambo ya utapiamlo kuwa ni ukosefu wa kula chakula bora na vyakula vyenyewe ni vya mafuta, Wanga, Hamilojo (siyo ULOJO), nk!
 
Last edited by a moderator:
Please jamani naomba kujua kashfa zilizowaondoa watu kama Abobakar Mgumia wizara ya Maliasili na utalii
 
Kuna analysis naandika kuhusu historia ya wizara hiyo. Kama hujui sema sio kuandika matusi. Dont be barbaric!
 
Naomba kujua kashfa zipi ziwatoa mawaziri maliasili na utalii tangu Uhuru. Mf. Dr Ngasongwa!


Huyu jamaa alikuwa kibonde ile mbaya...hajui kujieleza,hajui kujitetea, anatetemeka akiongea , hajiamini! muoga kufanya maamuzi...yaani ilikuwa bora mradi tu ...ndio liende
 
Ngasongwa ndiye aliyehusika na kuingiza mahakama ya kadhi kwenye ilani ya CCM.
 
ebu twambie kilichomtoa miraji fastjet mikocheni hadi moroko kwa akina kalapina.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom