Unamkumbuka Ngasongwa?

Radhia Sweety umenifanya nipate nguvu za kulitumikia taifa asubuhi hii baada ya kunichekesha na kuongeza uhai wangu.

Nimekumbuka wakati uleeee miaka ya 47 nikiwa nasoma somo moja likiitwa Sayansi Kimu (hata maana ya kimu siijui). Wakati huo tukiambiwa mambo ya utapiamlo kuwa ni ukosefu wa kula chakula bora na vyakula vyenyewe ni vya mafuta, Wanga, Hamilojo (siyo ULOJO), nk!

Kimu = tosheleza e.g "kujikimu" ni kujitosheleza.
 
Huyu Dr. Ngasongwa (Juma) alikuwa Mwenyekiti wa jopo lililoandaa Ilani ya CCM ya mwaka 2005 ambayo hata Mh. Rais aliwahi kukiri yeye kama mgombea kazi yake ilikuwa kuinadi tu na sio kuiandaa.

Sifa nyingine ya Ngasongwa ni kwamba ndiye anayedaiwa kuchomeka suala la Mahakama ya Kadhi kwenye Ilani tajwa suala ambalo kama lisipochukuliwa kwa umakini wa hali ya juu linaelekea kuipeleka nchi pabaya. In short, mkono wa Ngasongwa, kwa nafasi yake, umechangia kuifanya nchi yetu iwe hivi ilivyo leo; na historia itamkumbuka kwa hilo.
 
Kuna analysis naandika kuhusu historia ya wizara hiyo. Kama hujui sema sio kuandika matusi. Dont be barbaric!

No, it is not a matter of being barbaric. It is a fact that you are not clear. Don't you think the best way would be going to the Ministry and enquire?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kuna analysis naandika kuhusu historia ya wizara hiyo. Kama hujui sema sio kuandika matusi. Dont be barbaric!

JF kuna kila aina ya watu hivyo unapoanzisha mada hakikisha imekamilika kimaelezo ili kutoa mwelekeo wa maudhui husika.
Pia lazima ujue kudhibiti mjadala ili upate utakacho lakini ukianza majibizano utaishia kupandwa hasira na kupoteza lengo na mbaya zaidi Mods wakiona imegeuka uwanja wa mipasho wanainyofoa!
 
Umaaanisha Dr. Juma Ngasongwa, mwalimu wa Development Studies pale SUA kabla hajatimkia kwenye siasa mwaka 1995 na kupambana na binamu yake kwenye Prof. Melichiory Mlambiti (mwalimu wa uchumi SUA) wakati huo akiwa NCCR Mageuzi jimbo la Ulanga (Mashariki au Magharibi??) mkoani Morogoro?

Naumkumbuka kama Waziri wa Viwanda na Biashara aliyeondolewa kwa kashfa ya sukari miaka ya mwanzoni ya utawala wa mzee Ben Mkapa (1996 au 97?) na baadaye akurudishwa tena kwenye baraza la mawaziri kuanzia mwaka 2000, hadi ilipovunjwa iliyokuwa wizara ya mipango na JK mwaka 2008
 
Back
Top Bottom