Unamkumbuka kwa lipi huyu mwanasiasa

Huyu ni Prof Simon Mbilinyi, aliwahi kuwa waziri wa fedha miaka ya 1995. Kabla aliwahi kuwa mkurugenzi wa NDC. Alichafuka kwa kashfa za sukari na mapanki ya samaki wa ziwa victoria. Mkewe Prof. Majorie Mbilinyi aliwahi kuwa kiongozi wa TGNP, na mhadhiri wa chuo kikuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom