Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 May 11, 2010 #1 Wakuu mnamkumbuka huyo dada mwenye blauzi pink?
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 May 11, 2010 #2 Fide ni nyekundu au pink??
Z Zion Daughter JF-Expert Member Joined Jul 9, 2009 Posts 8,920 Reaction score 4,242 May 11, 2010 #3 Mbona sioni blauzi nyekundu hapo? au unasema pink?kama ni mwenye pink mie hata kumjua simjui achana na kumkumbuka
Mbona sioni blauzi nyekundu hapo? au unasema pink?kama ni mwenye pink mie hata kumjua simjui achana na kumkumbuka
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 May 11, 2010 Thread starter #4 bht said: Fide ni nyekundu au pink?? Click to expand... Samahani nina ugonjwa wa macho ngoja niedit
Nyange JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 3,517 Reaction score 1,869 May 11, 2010 #5 Hajulikani huyo, achana naye kwani vp?
K KABAZI JF-Expert Member Joined Apr 19, 2010 Posts 303 Reaction score 11 May 11, 2010 #6 Hapo chenga!! Tuambie weye wamfahamu.
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 May 11, 2010 #7 Fidel80 said: Samahani nina ugonjwa wa macho ngoja niedit Click to expand... kwani ni nani hata hivo!!! enzi zake mi nilikuwa bado kuja mjini........
Fidel80 said: Samahani nina ugonjwa wa macho ngoja niedit Click to expand... kwani ni nani hata hivo!!! enzi zake mi nilikuwa bado kuja mjini........
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 May 11, 2010 #8 shemeji usijali hiyo ni pink..najua mna upofu wa rangi...hivi huyo ni nani tena?
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 11, 2010 #9 Nsia Swai????????????????..................wapi Masanilo...........hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,945 Reaction score 4,499 May 11, 2010 Thread starter #10 Preta said: shemeji usijali hiyo ni pink..najua mna upofu wa rangi...hivi huyo ni nani tena? Click to expand... Huyu shemeji alikuwa maarufu sana Nsia Swai kala shavu kwenye ujaji hapo yupo mzigoni.
Preta said: shemeji usijali hiyo ni pink..najua mna upofu wa rangi...hivi huyo ni nani tena? Click to expand... Huyu shemeji alikuwa maarufu sana Nsia Swai kala shavu kwenye ujaji hapo yupo mzigoni.
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 May 11, 2010 #11 Balantanda said: Nsia Swai????????????????..................wapi Masanilo...........hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Click to expand... ahaaaaaaaaaaaa kumbe eeeeeeeeeeeeh!!!
Balantanda said: Nsia Swai????????????????..................wapi Masanilo...........hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Click to expand... ahaaaaaaaaaaaa kumbe eeeeeeeeeeeeh!!!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 May 11, 2010 #12 Balantanda said: Nsia Swai????????????????..................wapi Masanilo...........hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Click to expand... shem mi huwa nakufagiliaga ujue
Balantanda said: Nsia Swai????????????????..................wapi Masanilo...........hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Click to expand... shem mi huwa nakufagiliaga ujue
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 May 11, 2010 #13 Fidel80 said: Huyu shemeji alikuwa maarufu sana Nsia Swai kala shavu kwenye ujaji hapo yupo mzigoni. Click to expand... kuna kitu sijakielewa shem...huyu huko kafikajefikaje? au kuwa maarufu haijalishi umekuwa kwa mtindo upi...maana umaarufu wake huyu nae...mmhh
Fidel80 said: Huyu shemeji alikuwa maarufu sana Nsia Swai kala shavu kwenye ujaji hapo yupo mzigoni. Click to expand... kuna kitu sijakielewa shem...huyu huko kafikajefikaje? au kuwa maarufu haijalishi umekuwa kwa mtindo upi...maana umaarufu wake huyu nae...mmhh
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,042 Reaction score 7,474 May 11, 2010 #14 Balantanda said: Nsia Swai????????????????..................wapi Masanilo...........hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Click to expand... Wazee wa misele utawajua!!!
Balantanda said: Nsia Swai????????????????..................wapi Masanilo...........hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Click to expand... Wazee wa misele utawajua!!!
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 May 11, 2010 #15 Preta said: shem mi huwa nakufagiliaga ujue Click to expand... Preta Preta Preta.........mi nimekaa kimya tu mwenzio!!!
Preta said: shem mi huwa nakufagiliaga ujue Click to expand... Preta Preta Preta.........mi nimekaa kimya tu mwenzio!!!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 11, 2010 #16 bht said: ahaaaaaaaaaaaa kumbe eeeeeeeeeeeeh!!! Click to expand... hahaaaaaaaaaaaaaaaaa..........Masanilo alikuwa anamtafuta sana huyu mdada....lol
bht said: ahaaaaaaaaaaaa kumbe eeeeeeeeeeeeh!!! Click to expand... hahaaaaaaaaaaaaaaaaa..........Masanilo alikuwa anamtafuta sana huyu mdada....lol
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 11, 2010 #17 bht said: Preta Preta Preta.........mi nimekaa kimya tu mwenzio!!! Click to expand... Mhhhhhhhhhhhh...worry not mamii.....You are the one and only
bht said: Preta Preta Preta.........mi nimekaa kimya tu mwenzio!!! Click to expand... Mhhhhhhhhhhhh...worry not mamii.....You are the one and only
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 May 11, 2010 #18 Bigirita said: Wazee wa misele utawajua!!! Click to expand... hahaaaaaaaaaaaa!!! shikamoo Bigirita!!! I misd u B!!!
Bigirita said: Wazee wa misele utawajua!!! Click to expand... hahaaaaaaaaaaaa!!! shikamoo Bigirita!!! I misd u B!!!
Balantanda JF-Expert Member Joined Jul 13, 2008 Posts 12,484 Reaction score 4,821 May 11, 2010 #19 Preta said: shem mi huwa nakufagiliaga ujue Click to expand... Hahaaaaaaaaa.....kwa nini?......Asante though...
Preta said: shem mi huwa nakufagiliaga ujue Click to expand... Hahaaaaaaaaa.....kwa nini?......Asante though...
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 May 11, 2010 #20 Balantanda said: Mhhhhhhhhhhhh...worry not mamii.....You are the one and only Click to expand... Leo kumekucha vibaya kwangu kheee!!!
Balantanda said: Mhhhhhhhhhhhh...worry not mamii.....You are the one and only Click to expand... Leo kumekucha vibaya kwangu kheee!!!