unamkumbuka huyu mchizi?

unamkumbuka huyu mchizi?

MV5BMjE2NjcyNzEzNl5BMl5BanBnXkFtZTYwMjUyMzUz._V1_.jpg
 
Enzi ambazo movie zilikuwa movie.... sio siku hizi mambo ya kina maria clara sijui tamthilia za kichina .....
 
Enzi hizo Kijenge pale mitaa ya Bijampola..Sinema la predator na commando lilikua likionyweshwa daily..na huyo jamaa watu walikua wanamkubali balaa wakampachika jina la Massaweee(linatamkwa na lafudhi flani hivi ya chugga)...
 
Nakumbuka metropooo du tu kutoka tunaenda ice cream pourl pale kitu cha pamba kuna madogo walikuwa wanatusubiria wanatubora hao
 
dah mambo ya zamani hayo VHS ktk ubora wake
 
Back
Top Bottom