unamjuaje kwmba hyu ni bahli?

unamjuaje kwmba hyu ni bahli?

Oh puhliiiiizzzz....

Kwa case hii unaniambia, "Ukipenda boga penda na magugu yaliyootea pembeni"

- Mzinga kamwe hauwezi kuwa ua

- Plus najua (koz nshakutana nao) kuna wasiopiga mzinga

- alafu anayekupiga mzinga ndo wa kwanza kutongozwa na kugongwa nje..bado sana kumtoa hela girlfriend...demu!!!!! ah si heri niwape wadogo zangu hiyo pesa....

- ila Asnam kama ni wewe ntakutoa...:rockon:
hahahahahaha why me and not them.
 
Hili swala lmekuwa lkiniumza na kunitatza sna hasa pale lnapokuja swala la matumizi ya pesa,hv ukisndwa kumpatia mpenzi wko pesa au kumtimizia hitaji lake on time pndi anapohtaji na kumwambia kwmba hali yko c nzuri hvo akuvumilie kdogo then yy anatoka hpoa na kwenda kwa mashoga zke na kuwaambia kuwa "cjapata kuona mwanaume bahili kma hyu"hvi huo utakuwa ni ubahili au kutokuwa nacho kwa wakati huo?
Swali,
Je neno bahili linatafsiliwaje na hawa warembo?

Hehehe ni mambo ya kawaida sana hayo wala usikose usingizi.
Nakumbuka zamani zile ilikua tunaulizana umempa sh ngapi...ukisema kubwa..yaani kama 20 hivi. Washkaji wanakumind wanasema unainflate soko.
 
Hehehe ni mambo ya kawaida sana hayo wala usikose usingizi.
Nakumbuka zamani zile ilikua tunaulizana umempa sh ngapi...ukisema kubwa..yaani kama 20 hivi. Washkaji wanakumind wanasema unainflate soko.

huyo wa hivyo ni wa one tym...au ndo una hopes naye za ndoa!??
 
mmmh!!!! kazi ipo..... wanaume wa siku hz ni full malalamiko tu.
Sasa usipompa hela huyo mpnz wako we unategemea atapewa na nani.
Na cha ajabu eti unataka mpnz awe smart i.e kasuka vzr,je hiyo hela ya kumpendezesha ataitoa wapi????????
 
mtu ni mpenzi wake ,kumpa ela ya wkend elfu 30 binti wa watu hadi aje kutuanzishia thread jamani? utu uko wapi? kuna mapenzi hapo kweli
nani anakwambia utoe hela? inavyoonesha wewe ulishazoe kumpa hela sasa hivi unamletea namnagani vipi..kwa kifupi huyo ni golddigger..na wewe umekua Bit**h nigga...point ya msingi usikubali uumie wewe ili umfurahishee mtu..ya kupasa ufahamu huna jukumu lolote lile la kumpa pesa..za wknd wala nin maana makubaliano yenu ni kua wapenzi so connecting factor ni mapenzi..mabo ya finances kila mtu alale mbele..ukiwa na msimamo huu..ukweli utakimbiwa na wanawake lakini amini utakutana..nae yule anaefaa tu wala ucwaze kuna wanawake..kibao..yan...hahahahahaha....
 
Astakafirulah.....dhambi mkuu...umeyatia najisi macho yangu siku hii ya Bwana.

- Smile..ama hakika bahili huyu anafaidi.
Ht kugegeda kwa njia ya kawaida ni dhambi vlevle
 
Last edited by a moderator:
mento mtu bahili anaweza kuwa na mia tano ukamuomba mia akakuambia sina tena na kulalamika juu kuwa hana. unaweza usiombe hela nyingi but mtu atajifanya hana hali ya kuwa imo kwenye uwezo wake. yaani ubahili una asili ya roho mbaya!!!!! hata mtu awe na salary ya laki 9 au mamilioni kama si mtoaji ni si mtoaji tu hata iweje. ni roho ambayo inatakiwa ikemewe yaan ni roho mbaya in short
 
nasisi pia tunaulizana mpaka leo umepewa sh.ngapi? au mkopo? ukisema hizo 50 40 unachekwa!!! na bwana inabidi umuache hajui kuhonga. hivi we mento hujawahi kusikia watu wanajengewa majumba wala hawaolewi yaan we kumpa mtu hela mpaka uwe na hopes nae za ndoa?:A S-heart-2::A S-heart-2::A S angel: unapenda kugegeda tuuu kuhonga aaa!!!
 
Wazazi wako pamoja na kukupenda saaana inafika kipindi wanakufundisha kujitegemea na kujitafutia.
Unadhani ni kwa nini?

Je,
- Utawaita wachoyo?

- Bahili?

- Kumbuka hata huyu boyfriend wako ana mahitaji yake na hamjaoana so hata hayuko certain kwamba u will be his forever..why have him invest on property he hasn't fully and legally acquired?

Let's play an assumption game here:
- That I am your boyfriend.
- 27 years of age.
- Working with an insurance company.
- Starting my second year in this new place.
- Take home 900,000/-
- I do every thing a boyfriend does with his girl; dates, gifts, random trips.
- nimenunua kakiwanja and planning kuanza ujenzi this May.

Na wewe my girlfriend zakiyah:
- Ndo umemaliza chuo last year November
- By good chance ukapata ajira serikalini say u were doing law
- I don't know your salary. (put any figure you wish)

- Ungeniomba vitu vingapi na vya how much?
- I mean, kipimo chako cha ubahili au kutokuwa mimi mbahili kingekuwa kama ninakupa shilingi ngapi kwa mwezi?
- Kwanini? kwa sababu hizohizo ulizoainisha hapo juu au?

Please nijibu with all honesty maana huenda ikawa na mimi ni bahili ila sijijui, it might help me change.

CC: babu Asprin, kaka Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, SnowBall, Teamo na wote mliooa what was it like when u guys were dating?
Asnam, Smile, Kipipi, Evelyn Salt, lara 1, Remmy et al..put urselves in zakiyah's shoes and answer my questions please.
watu8, Eiyer, Kipaji Halisi, KakaKiiza, Vin Diesel, hows it like?

My thought: KAMA NI GIRLFRIEND (repeat) GIRLFRIEND (note: hata uhakika wa kufikia uchumba hauna)

"SPEND ON HER BUT NEVER GIVE HER CASH"

mento we utakuwa mbahili wewe!!! mi sielewi unavyotetea ishu za hawa watu bahili yatakuwa yanakugusa
 
sasa kwani pesa kazi yake nini mpaka mtu abane matumizi hata pale anapoombwa tena na shida umeelezwa.
 
- Kwanini uombe hela???!

- Wewe ni ombaomba???!

- Kuna mshkaji nimempa hii stori leo akanipa hadithi ya babu yake. Wakati anakuja mjini babu yake alimwambia ukifika mjini utakutana na wanawake wanaomba hela.
Wakikuomba waambie wangoje na wewe ukamwombe baba ako akikupa utawaletea.

- huyo anayejenga nyumba na haoi ni mhongaji. Anakujengea nyumba na vinyumba vya ukimwi mwilini anakuachia.

- wat the *** is wrong wit u ladies ndo maana bongo kuoa ni kujiongezea umaskini. Badala ya kumuencourage kuinvest anunue land..shares...build labda..wewe bize kumpiga mizinga...na mtaishia kugegedwa hadi tigo i tel u.

- mnapoachwa mnaishia kulia wanaume wabaya. How? Wakati we mwenyewe uliishi naye kama malaya wake??!

- si ameilipia mbunye yako bana...

- na wengine ambao ni malaya waliokubuhu wanajipa moyo walau na hela yake nimekula...good!!!

- na hicho kipochi manyoya kwan umelazimishwa ukitoe? Ooh kanichezea alafu kaniacha. Akikuchezea wewe ulikua in pause mode kama goli au? Si na wewe uliikatikia...ama hukuenjoy?

- afu mbaya zaidi nyie ndo mnaishia kuwa disapointed sana koz unatiana na pesa akilini..mhh nnavokatika leo lazima antoe laki..shabash...mwishowe hufiki unaishia kulalamikia wanaume wamekuwa selfish in bed. Kwann asiwe...si atailipia??!

- aaarrrgh...call me bahili but i will say this again:
KAMA SI MKE WANGU I AM NOT FINANCIALLY RESPONSIBLE TO YOU...U R NOT MY FCKNG DAUGHTER.
 
mmmh!!!! kazi ipo..... wanaume wa siku hz ni full malalamiko tu.
Sasa usipompa hela huyo mpnz wako we unategemea atapewa na nani.
Na cha ajabu eti unataka mpnz awe smart i.e kasuka vzr,je hiyo hela ya kumpendezesha ataitoa wapi????????

Hakyanani..mimi ndiyo maana mapenzi yalinishinda..hv kama anafanya kazi atashindwa kuwa smart? Na natakiwa kuwa nampa kila anapotaka kuosha/kusuka nywele..!!
 
- Kwanini uombe hela???!

- Wewe ni ombaomba???!

- Kuna mshkaji nimempa hii stori leo akanipa hadithi ya babu yake. Wakati anakuja mjini babu yake alimwambia ukifika mjini utakutana na wanawake wanaomba hela.
Wakikuomba waambie wangoje na wewe ukamwombe baba ako akikupa utawaletea.

- huyo anayejenga nyumba na haoi ni mhongaji. Anakujengea nyumba na vinyumba vya ukimwi mwilini anakuachia.

- wat the *** is wrong wit u ladies ndo maana bongo kuoa ni kujiongezea umaskini. Badala ya kumuencourage kuinvest anunue land..shares...build labda..wewe bize kumpiga mizinga...na mtaishia kugegedwa hadi tigo i tel u.

- mnapoachwa mnaishia kulia wanaume wabaya. How? Wakati we mwenyewe uliishi naye kama malaya wake??!

- si ameilipia mbunye yako bana...

- na wengine ambao ni malaya waliokubuhu wanajipa moyo walau na hela yake nimekula...good!!!

- na hicho kipochi manyoya kwan umelazimishwa ukitoe? Ooh kanichezea alafu kaniacha. Akikuchezea wewe ulikua in pause mode kama goli au? Si na wewe uliikatikia...ama hukuenjoy?

- afu mbaya zaidi nyie ndo mnaishia kuwa disapointed sana koz unatiana na pesa akilini..mhh nnavokatika leo lazima antoe laki..shabash...mwishowe hufiki unaishia kulalamikia wanaume wamekuwa selfish in bed. Kwann asiwe...si atailipia??!

- aaarrrgh...call me bahili but i will say this again:
KAMA SI MKE WANGU I AM NOT FINANCIALLY RESPONSIBLE TO YOU...U R NOT MY FCKNG DAUGHTER.

We jamaa ngoja ninunue bundle niweke kwa PC nikushushie like la nguvu.
 
Kwa hivyo Asnam na mimi nimo kwenye kundi la bahili?

But wait madam, before you rest your case, help me out on this;
- What do u make of a lady who never asks cash from her boyfriend?
Je,
- Ni mshamba?

- anako anakozipata?

- ni sahihi pia?

Jibu rahisi 2, anakupenda kweli!! 2 ma side i rarely ask cash to a person i love may b niwe nmepungukiwa lkn co kumfanya atm machne kwa kila hitaji langu! I love to be independent as posibo! Ila outings atagharamia yz labda nimtoe mm i wil b responsible 4 evrythng! Upendo wa kweli unahuruma ndan yake.
 
Finally once smart lady!!!huuuh...I was getting worried.

Cc: Smile
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom