Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,771
- 167,978
ok nashukuru kuwa unajuwa wewe ni bahili. thread inaeleza mtu anaombwa hela for a certain reason but harespond mpaka anamnadi kwa mashosti sasa unaposema tatizo letu ni kuomba with no reasons sikuelewi au we unapenda kuombwa kwa style zako uzijuazo maana kabila lako hilo twalijuaaa!!
Wala hata usihangaike nao hawa mwaya, bahili zao sabuni tu....