unamjuaje kwmba hyu ni bahli?

unamjuaje kwmba hyu ni bahli?

- Aaaaah kumbe ni shida na umenielezea..ok hapo nimekusoma na akikunyima huyo kweli bahili.

- ila hapa assumption yangu shida ni kitu seasonal...si ndiyo?

- halafu hebu mnisaidie mfano wa shida moja ambayo inaeleweka inayoweza kukulazimu kuomba hela kwa boyfriend wako.

weeee nacho charuwa!! hivi mpenzi wako akikuomba hela ya bundle aingie jf kujimwaga utajifanya huna? hela ya mkate je ile kila mwezi? kugomboa nguo kwa fundi? hela ya kupinda kanga? kuziba viraka? viatu vya mchina k.koo vimeachia vipo kwa fundi? hela ya gagulo? nauli ya kwenda ngomani mkuranga au bagamoyo pia hutatoa? bajaji kwenda kitchen party ya dadake mzabzab hutatoa? kumbe nini unataka uambiweje??!!! mwanaume kiranga bwana lazma uombwe ombwe!!!
 
Mentor na Zakia wote mpo sahihi maybe nahc so far so good 2shamjua mwanaume bahili anakuwaje labda 2ngependa kujua nini maana ya neno bahili?

bahili ni mtu ambaye either anacho ila hataki kutoa kwa minajili yake au kwa manufaa yake yeye na sai mwingine. ngoja nifupishe ubahili ni uchoyo brooo hamna maana ingine
 
mbona unapomkula humwambii hujiskii vizuri
toa hela bwana maisha magumu
Unapomkula au mnakulana?
Nilishatoa,leo zamu yako toa wewe.
Tusijiendekeze,haijaandikwa kuwa mwanaume ndiye mtoaji pekee,tusifilisiane ebo!
 
weeee nacho charuwa!! hivi mpenzi wako akikuomba hela ya bundle aingie jf kujimwaga utajifanya huna? hela ya mkate je ile kila mwezi? kugomboa nguo kwa fundi? hela ya kupinda kanga? kuziba viraka? viatu vya mchina k.koo vimeachia vipo kwa fundi? hela ya gagulo? nauli ya kwenda ngomani mkuranga au bagamoyo pia hutatoa? bajaji kwenda kitchen party ya dadake mzabzab hutatoa? kumbe nini unataka uambiweje??!!! mwanaume kiranga bwana lazma uombwe ombwe!!!
zakiyah my dia, lets reason logically...

Kwa jibu lako we go back to my previous questions;
Je, binti huyu

- ni yatima?
-mwanafunzi?
- kilema?
 
Last edited by a moderator:
Hili swala lmekuwa lkiniumza na kunitatza sna hasa pale lnapokuja swala la matumizi ya pesa,hv ukisndwa kumpatia mpenzi wko pesa au kumtimizia hitaji lake on time pndi anapohtaji na kumwambia kwmba hali yko c nzuri hvo akuvumilie kdogo then yy anatoka hpoa na kwenda kwa mashoga zke na kuwaambia kuwa "cjapata kuona mwanaume bahili kma hyu"hvi huo utakuwa ni ubahili au kutokuwa nacho kwa wakati huo?
Swali,
Je neno bahili linatafsiliwaje na hawa warembo?

Km unahitaji hela alaf anakwambia hana hela NA wakati amejaza mfukoni
 
bahili ni mtu ambaye either anacho ila hataki kutoa kwa minajili yake au kwa manufaa yake yeye na sai mwingine. ngoja nifupishe ubahili ni uchoyo brooo hamna maana ingine

Wazazi wako pamoja na kukupenda saaana inafika kipindi wanakufundisha kujitegemea na kujitafutia.
Unadhani ni kwa nini?

Je,
- Utawaita wachoyo?

- Bahili?

- Kumbuka hata huyu boyfriend wako ana mahitaji yake na hamjaoana so hata hayuko certain kwamba u will be his forever..why have him invest on property he hasn't fully and legally acquired?

Let's play an assumption game here:
- That I am your boyfriend.
- 27 years of age.
- Working with an insurance company.
- Starting my second year in this new place.
- Take home 900,000/-
- I do every thing a boyfriend does with his girl; dates, gifts, random trips.
- nimenunua kakiwanja and planning kuanza ujenzi this May.

Na wewe my girlfriend zakiyah:
- Ndo umemaliza chuo last year November
- By good chance ukapata ajira serikalini say u were doing law
- I don't know your salary. (put any figure you wish)

- Ungeniomba vitu vingapi na vya how much?
- I mean, kipimo chako cha ubahili au kutokuwa mimi mbahili kingekuwa kama ninakupa shilingi ngapi kwa mwezi?
- Kwanini? kwa sababu hizohizo ulizoainisha hapo juu au?

Please nijibu with all honesty maana huenda ikawa na mimi ni bahili ila sijijui, it might help me change.

CC: babu Asprin, kaka Mtambuzi, Jiwe Linaloishi, SnowBall, Teamo na wote mliooa what was it like when u guys were dating?
Asnam, Smile, Kipipi, Evelyn Salt, lara 1, Remmy et al..put urselves in zakiyah's shoes and answer my questions please.
watu8, Eiyer, Kipaji Halisi, KakaKiiza, Vin Diesel, hows it like?

My thought: KAMA NI GIRLFRIEND (repeat) GIRLFRIEND (note: hata uhakika wa kufikia uchumba hauna)

"SPEND ON HER BUT NEVER GIVE HER CASH"
 
Last edited by a moderator:
haka kathread nilichelewa kukafungua kumbe katamu namna hii...kumbe wanaume tuna kazi kweikwei!
 
hahhaha acha kujitetea ww mtu akiomba ujue anafahamu wallet yako eeeh ukipenda hauhesabu kiasi babu weeh ni unazamisha mkono mfukoni ukiutoa ewaaaah mtoto wa kike tabasamu usoni,hebu acha ubahili bhana.
 
Kwa hivyo Asnam na mimi nimo kwenye kundi la bahili?

But wait madam, before you rest your case, help me out on this;
- What do u make of a lady who never asks cash from her boyfriend?
Je,
- Ni mshamba?

- anako anakozipata?

- ni sahihi pia?
 
Last edited by a moderator:
Kwa hivyo Asnam na mimi nimo kwenye kundi la bahili?

But wait madam, before you rest your case, help me out on this;
- What do u make of a lady who never asks cash from her boyfriend?
Je,
- Ni mshamba?

- anako anakozipata?

- ni sahihi pia?

anako anakozipata,au hana sehemu nyingine ila mshipa wa aibu ndo unamfanya asikuombe na hiyo sio sababu ya ww kukaa mkono wa birika asipoomba mgei mara mojamoja si mbaya.
 
teh teh teh! Mda mwingine mtu hupendi kutokumtimizia mpenzi ako mahitaji bt unakuja mshahara wenyewe umeisha hata hujaupokea cz mipango ya maendeleo mingi watoto wacjeangalia tv kwa jirani huku wamekaa sakafuni
 
anako anakozipata,au hana sehemu nyingine ila mshipa wa aibu ndo unamfanya asikuombe na hiyo sio sababu ya ww kukaa mkono wa birika asipoomba mgei mara mojamoja si mbaya.

- Sasa hapo utakuwa unamhonga ama?

- Na je akiwa na shida ya 100,000/- na wewe umezoea kumpa 50,000/- si ndio mwanzo wa kwenda kutafuta pengine?

- Lakini pia, Hapo tumeongelea upande mmoja. Vipi wewe kama girlfriend unafanya nini in return to keep the relationship working and contributed to from both sides?
 
mi ukinihonga laki ujue kuna percent ntakununulia gift and much loveeeeeeeeeeeeeeeee pesa sabuni ya penzi we zubaa zubaa utakula kipapatio wenzio wanakula mapaja oooh.
 
- Kuna 70% probability wewe ni mwanafunzi.

- For that case I say, "I understand your stand!"

- Otherwise what's the point ya mimi kukupa hela ili uninunulie zawadi? Couldn't i have buy it myself?

- Au ndo yale ya mama Salma na zawadi ya vodacom??

- Au ndo ule utoto wa kumwomba baba pesa alafu ndo unamnunulia zawadi ya birthday?

- But anyway, Let's go back to my mfano put urself in the shoes of my girlfriend and answer me..then tutakuja kwa girlfriend mwanafunzi:A S shade:
 
pesa ya boyfriend ni tamu ww hiyo ndo nzuri kukununulia vijizawadi,kama gf ana kazi nzuri na bado anapiga mizinga ujue ana matumizi makubwa kuliko kipato chake na pia hajajitambua yeye ni nani,anahitaji nn na kwa wakati gani ni hilo tu akizingatia hayo mbona mizinga inapungua,mbona umeng'ng'ania huu uzi we ni bahili nn?
 
May be may be not...nimeung'ang'ania b'se;
- of the person am discussing it with...:smile-big:

BACK TO TOPIC:
Nimependa where we are going now "kama anapiga mzinga na ana kazi...."

BIG LIKE.
 
elimu ya utambuzi ndio tatizo, mpe ushauri aache ulimbukeni
Hili swala lmekuwa lkiniumza na kunitatza sna hasa pale lnapokuja swala la matumizi ya pesa,hv ukisndwa kumpatia mpenzi wko pesa au kumtimizia hitaji lake on time pndi anapohtaji na kumwambia kwmba hali yko c nzuri hvo akuvumilie kdogo then yy anatoka hpoa na kwenda kwa mashoga zke na kuwaambia kuwa "cjapata kuona mwanaume bahili kma hyu"hvi huo utakuwa ni ubahili au kutokuwa nacho kwa wakati huo?
Swali,
Je neno bahili linatafsiliwaje na hawa warembo?
 
May be may be not...nimeung'ang'ania b'se;
- of the person am discussing it with...:smile-big:

BACK TO TOPIC:
Nimependa where we are going now "kama anapiga mzinga na ana kazi...."

BIG LIKE.

dunia bhana kuna baadhi ya wadada wanaamini maisha bila mizinga hayaendi so its better kumvumilia kwa sababu umempenda,waswahili wanasema ukipenda boga penda na ua lake.
 
ubahili ni kubana matumizi sijui kama vina mfanano na choyo, msaada
bahili ni mtu ambaye either anacho ila hataki kutoa kwa minajili yake au kwa manufaa yake yeye na sai mwingine. ngoja nifupishe ubahili ni uchoyo brooo hamna maana ingine
 
dunia bhana kuna baadhi ya wadada wanaamini maisha bila mizinga hayaendi so its better kumvumilia kwa sababu umempenda,waswahili wanasema ukipenda boga penda na ua lake.

Oh puhliiiiizzzz....

Kwa case hii unaniambia, "Ukipenda boga penda na magugu yaliyootea pembeni"

- Mzinga kamwe hauwezi kuwa ua

- Plus najua (koz nshakutana nao) kuna wasiopiga mzinga

- alafu anayekupiga mzinga ndo wa kwanza kutongozwa na kugongwa nje..bado sana kumtoa hela girlfriend...demu!!!!! ah si heri niwape wadogo zangu hiyo pesa....

- ila Asnam kama ni wewe ntakutoa...:rockon:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom