unamjuaje kwmba hyu ni bahli?

unamjuaje kwmba hyu ni bahli?

maisha ni kusaidiana.
KWELI

lazima niwe na confidence na mpenzi wangu kwa kila kitu.
KWANI CONFIDENCE NI MPAKA UMUOMBE HUWEZI KUMUANGALIA TU UKAJUA?

hata yeye akikwama namsaidia pia
MHHHHHHHHH HAPO NDO NINA WASIWASI NAPO...SI NDO MWANZO WA KUSEMA, 'MWANAUME MWENYEWE PEKE YAKE HAWEZI JIHUDUMIA.'

BTW:
Sipingi a man kukutoa pesa sometimes...
Lakini ile language ya, "
Baby nina shida ya laki moja ebu ntoe basi..." WTH...hata mzazi wako huwezi muambia hivyo.

inawezekana ukawa bahili kulingana na mlivyozoeana na mpenzi wako, kama alikua na shida na ukamwambia asubiri, na yeye anaona unaweza kumsaidia lazima akuone we bahili, kwani kama ni shida ya haraka sana ungetafuta alternative hata kwa marafiki zako umtoe,.sijajua amekuomba hela kwa minaj ipi,. ila kama hana chochote anachofanya na ndo utaratibu wa kuomba hela daily,.hiyo itakuchosha na hatoacha kukuona wewe bahili, ila kama hajawah kukuomba au ni mara mojamoja na ukamwambia haupo vizuri anaweza kukuona hivyo, kama unampenda mpenzi wako, tafuta namna ya kumsaidia kwa kias fulan pale anapokua na shida, inawezekana nawewe kila anapokuomba huna sasa kwann asikuone wewe bahili?
 
Nimeipenda sana hii post...

Unaniomba pesa kwa minajili ipi?

1. wewe ni yatima?

2. huna kazi?

3. Bado ni mwanafunzi?

4. Ni mke wangu?

Kama ni NONE OF THE ABOVE..niite tu bahili!

I will spend on u as I wish but never as u want me to!
 
Haiwezekani usimpe mara moja tu aseme "sijawahi kuona mwanaume bahili"
we utakuwa ni bahili tu...
 
mpaka awe mkeo ndio usiwe bahili? kwani demu wako mke wako mahala pa starehe si ni p[alepale au zipo tofauti? wewe nawe bahili pia
 
- zakiyah na Evelyn Salt kuna tofauti ya spending with her on her na kumpa hela!!!

- I spend sana when i am with your wifi...coz i enjoy doing so!!!

- Ila hajawahi kuniomba hela...ya nini???!!!!!!

- tatizo lenu unaomba bila kutoa maelezo basi tu..kwani mi SACCOSS!!!:high5:

- Yes, mimi bahili! She knows it..n she loves me for that...hehehe...
 
Last edited by a moderator:
Haiwezekani usimpe mara moja tu aseme "sijawahi kuona mwanaume bahili"
we utakuwa ni bahili tu...

Ni mwanao huyo tuseme unampa pocket money!!!!???

I really hope u ladies are not serious...
Yani the fact kwamba he is your boyfriend..hata si mchumba...ni lazima tu akupe hela au??

Mi kama sielewi vile.:A S 39:
 
Unaniomba pesa kwa minajili ipi?

1. wewe ni yatima?

2. huna kazi?

3. Bado ni mwanafunzi?

4. Ni mke wangu?

Kama ni NONE OF THE ABOVE..niite tu bahili!

I will spend on u as I wish but never as u want me to!

Thumb up man...!
 
Ni mwanao huyo tuseme unampa pocket money!!!!???

I really hope u ladies are not serious...
Yani the fact kwamba he is your boyfriend..hata si mchumba...ni lazima tu akupe hela au??

Mi kama sielewi vile.:A S 39:

Mbona pupuchi yake unaomba???
ni nani yako....
sikia Mentor hushikiwi bastola kutoa hela, huna/huwezi chapa lapa watoaji watakuja!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
- zakiyah na Evelyn Salt kuna tofauti ya spending with her on her na kumpa hela!!!

- I spend sana when i am with your wifi...coz i enjoy doing so!!!

- Ila hajawahi kuniomba hela...ya nini???!!!!!!

- tatizo lenu unaomba bila kutoa maelezo basi tu..kwani mi SACCOSS!!!:high5:

- Yes, mimi bahili! She knows it..n she loves me for that...hehehe...

Uchakavu unaomsababishia!!!!!!!
 
I see....i get your point my dear...!

It seems you always have SEX with your guy...the day you find a man who will MAKE LOVE to you utasahau kumwambia, "mh, yani kuntumia kote huko unanipa elfu kumi ya nauli!"

Uchakavu unaomsababishia!!!!!!!

- Mwanaume aki have sex na wewe anakuwa sawa na kukimbia km. 8 je, na yeye akudai kombe? au medal?

- Siku ukikojozwa Evelyn Salt my dear...the day u find that man....!!! i pray i will be alive utakapokuja kutoa ushuhuda...
 
ha ha ha unanichekesha!!!!!!
nilikojozwa utotoni mtu mzima nw nasquirtishwa!!!!!!!!!!!!!!:shut-mouth:
 
then usingeongea hayo usemayo...!!!!!

karibu LTH PUB ili babu Asprin anithibitishie usahihi wa Bold....
 
Last edited by a moderator:
then usingeongea hayo usemayo...!!!!!

karibu LTH PUB ili babu Asprin anithibitishie usahihi wa Bold....

images

Cheers!!!!!!!!!!!
 
Mjomba hata wasanii walishaimba toa hela ukubalike toa hela uheshimike toa hela uthaminike. toa hela acha upare! Heeeeee! thamaaani lakini wene kabila.
 
Mjomba toa hela usiwe Marioo. wewe honga ili mradi upate' kuhonga kuna raha yake mtoto akikukupa papuchii anatoa kiroho safi.
 
- zakiyah na Evelyn Salt kuna tofauti ya spending with her on her na kumpa hela!!!

- I spend sana when i am with your wifi...coz i enjoy doing so!!!

- Ila hajawahi kuniomba hela...ya nini???!!!!!!

- tatizo lenu unaomba bila kutoa maelezo basi tu..kwani mi SACCOSS!!!:high5:

- Yes, mimi bahili! She knows it..n she loves me for that...hehehe...

ok nashukuru kuwa unajuwa wewe ni bahili. thread inaeleza mtu anaombwa hela for a certain reason but harespond mpaka anamnadi kwa mashosti sasa unaposema tatizo letu ni kuomba with no reasons sikuelewi au we unapenda kuombwa kwa style zako uzijuazo maana kabila lako hilo twalijuaaa!!
 
Back
Top Bottom